Josemanjeezy
Member
- Mar 4, 2017
- 59
- 24
Ndiyo maana basi serikali, huwa ina hatua za uchunguzi na upelelezi pana mambo mengine yanachukua miaka unafikili kuwa serikali imekuacha au hauna hatia ila baada ya miaka hata 10 wanakufata taratibu unawekwa mikono salama
Kibaya au kizuri bado ni mtazamo, unachokiona wewe kibaya mwingine anaweza kukiona cha kawaida, sasa usilazimishe mtazamo wako ndio uwe ukweli, huo ni mtazamo tu na sio uthibitisho wa kua anafanya biashara.Una maana anachofanya ni kizuri, kisa na mimi sijakatazwa kutenda uovu anaofanya basi nikae tu kimya, nisiseme? Bogus!
Wewe tulia mshedede ukuingie, apigwe miti bashite mimba ubebe wewe wapi na wapi?Mimi niliisha Sema sana bishop uchwara Gwajima ni mpiga deal tu , sasa anatumia jina la RC kupiga sadaka
Waje kufanya nini?Immigration mpo?
Ni kesi iliyoamriwa na jaji J. Gwajima katika mahakama kuu ya Mchungaji Gwajima kanda ya KanisaniAkizungumza leo kanisani kwake, Ubungo, jijini hapa, Gwajima alidai kosa la kwanza la Makonda ni kughushi cheti ambacho kinaonyesha yeye ni Paul Makonda wakati akifahamu kuwa yeye ni Daudi Bashite.
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima ametaja makosa ya kisheria yaliyomfanya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda kukimbilia Afrika Kusini.
Akizungumza leo kanisani kwake, Ubungo, jijini hapa, Gwajima alidai kosa la kwanza la Makonda ni kughushi cheti ambacho kinaonyesha yeye ni Paul Makonda wakati akifahamu kuwa yeye ni Daudi Bashite.
“Kosa hilo kwa mujibu wa Gwajima ni kifungo cha miaka saba.Kosa jingine ni kula kiapo cha ukuu wa wilaya na ukuu wa mkoa akisema yeye ni Makonda wakati akijua yeye ni Bashite,” alisema
Gwajima alisema kosa la hilo la kula kiapo na cheti feki ni kifungo cha miaka mitatu.
Kosa jingine alisema ni kupokea mshahara na posho kwa jina la Makonda wakati akifahamu si yeye na kuongeza kuwa kosa hilo likithibitika atatakiwa kurudisha mishahara na posho zote alizochukua.
Hakuna kitu kama hiyo, wadanganye div five wenzako. Ujinga kama huu tafta watu wajinga kama wewe wa kuwadanganya.Ndiyo maana basi serikali, huwa ina hatua za uchunguzi na upelelezi pana mambo mengine yanachukua miaka unafikili kuwa serikali imekuacha au hauna hatia ila baada ya miaka hata 10 wanakufata taratibu unawekwa mikono salama
Hakuna kitu kama hiyo, wadanganye div five wenzako. Ujinga kama huu tafta watu wajinga kama wewe wa kuwadanganya.
Bashite ni special, pia kuna wakati aliitwa na watu WA haki za Binadamu sijui kama alienda.Hivi huyo bashite alisharipoti kamati ya bunge kwa mahojiano?