Gwajima anapaswa kupigwa vita na vyama vyote

Gwajima anapaswa kupigwa vita na vyama vyote

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,320
Reaction score
117,674
Laiti kama tungekuwa nchi ambayo Kuna Uhuru mkubwa wa jeshi la polisi kuchunguza wahalifu aina zote na kuwapeleka mahakamani bila kusubiri amri za kisiasa, watu kama Mchungaji Gwajima wangekuwa washafungwa siku nyingi sana.

1. Kujipatia pesa Kwa njia ya udanganyifu. Hili sio tu Gwajima Ila wachungaji wengi wanaojifanya wana miujiza.

Na mwisho kukusanya sadaka au kuchukua hela kwa maombi maalum. Wengi wangekuwa jela.

2. Utapeli
Mnamkumbuka Gwajima na kisa cha kumfufua Amina Chifupa? Hiki Tu kisa kimoja angepigwa miaka hata 15 enzi zile. Pengine leo asingekuwa anaenda gombania ubunge CCM

3. Sex with underage girls
Hiki nako hakihitaji hata uchunguzi wa kina; hata ambao hawapo kanisani kwake wanapata visa tele vya Gwajima.

4. Kuchanganya dini na siasa
Hiki sijui nianzie wapi, lakini itoshe kusema kila mwenye macho anaona.

5. Kukosa maadili kwa ujumla
Kuanzia video yake ya ngono na mambo mbalimbali yanayomhusu.

Iwapo Magufuli atampitisha Gwajima agombee, basi ama hakika wananchi watakuwa wameonewa sana. Ukichukulia vyama vya upinzani vinategemewa kubanwa hadi mwisho.

Hizi ni nyakati ambazo wenye akili wanaogopa kuongea but wapumbavu wanajitokeza kwa ujasiri mbele kabisa kusambaza upumbavu, lakini historia itahukumu kwa haki naamini.
 
Maadili ndo kila kitu
Kuwa jembe huku unatangaza kufufua watu
Kwa kuwatapeli
Sasa turudi ktk mada yako mzee. Hebu tutoe tongotongo, mwaga upupu wazi kabisa yaonekana wafahamu mengi, kumhusu
 
Gwajima tapeli sana, hapo kwenye kuchanganya dini na siasa ndio simuelewi kabisa, sijui unaweza vipi kuwa mtumishi wa Mungu wa kweli halafu hapo hapo uwe unawajaza watu propaganda za kwenye siasa.

Gwajima siku zote ni msanii anaetumia fursa, hata body language yake inamuonesha kama mtu wa ulimwengu zaidi (ndio maana ana scandal za ajabu), na sio wa kiroho kama anavyotakiwa kuwa.

Sasa kaona atumie fursa ya siasa kwasababu ya jamaa yake wa nyumbani aliye madarakani, mwanzo alitumia uongo wa kufufua wafu awapate watu kwenye kanisa lake.

Akitaka heshima afanye kama alivyofanya Rais mpya wa Malawi, aache dini aingie kwenye siasa, lakini kuchanganya vyote viwili ni utapeli wa wazi.
 
Kijamaa ni kinafiki, kizinzi na pia ni ki opportunist cha kiwango cha kimataifa! Ndiyo hiki hiki mwaka 2015, kilimpamba Lowasa kwenye kampeni kiasi cha kuwaambia wasiompenda huyo Lowasa, basi wakale malimao!

Ila tangu ile video yake ya kumaliza ndani ya dk 2 kinyume kabisa na utaratibu kwa wanaume walio kamilika kuvuja, kimeamua kurudi kwenye fani yake pendwa ya unafiki. Sidhani kama kuna mpiga kura mwenye akili timamu atamchagua Gwajiboy!
 
Gwaji! Halazimishi mtu aende kanisani kwake, Vinginevyo hizi ni siasa kama siasa zingine au hofu ya Jimbo!!

Kwa vile hajawahi kutiwa hatihani Kwa orodha ya makosa hayo! Anayo haki ya kugombea nafasi yoyote na akibahatika kupita iwe kheri,

Kosa lake ni kuomba kugombea kupitia Chama usichokipenda ama kuwa kiongozi wa Kiroho maana si Kwa majungu na wivu huo!!
 
Hizi ni nyakati ambazo wenye akili wanaogopa kuongea but wapumbavu wanajitokeza kwa ujasiri mbele kabisa kusambaza upumbavu, lakini historia itahukumu kwa haki naamini.
Wanapewa nafasi na dictatorial regime iliyopo baada ya kuwatishia uraia, kuwafungia makanisa/utapeli (yw)ao etc
 
Kuchanganya Dini na siasa ni kosa ila "siasa na dini " ni sawa?' maana Magufuli karibuni hotuba nyingi za taifa anazitolea KANISani
 
Back
Top Bottom