Gwajima anapaswa kupigwa vita na vyama vyote

Sasa kama mh rais anamfukuza katibu tawala kwa umalaya wa hadi wake za watu,
Gwajima anaeomba ubunge unafikiri atafanywa je?

Kuna bilionea wa dolla mnaigeria amedakwa huko Dubai baada ya kuwekewa mtego kwa mda mrefu katika kazi zake za wizi wa kimtandao.

Naamini ni wakati mwafaka sasa kwa Gwaji kutizamwa kwa jicho la tatu. Amehisi harufu ya upepo mbaya kwake sasa anatafuta mji wa makimbilio kuficha uovu wake wa kitapeli wa mda mrefu.
 
Na gwajima mjanja baada ya video yake ya ngono akajifanya ana msifu Raisi na makonda Tena akaanza ku praise ukabila ili aje kubebwa kwenye uchaguzi, Gwajima tukio la video ya ngono limemuathiri wanaumini wamepungua Sasa anakimbilia siasani huko Tena ccm ili aje kulindwa huko
 
Kuna muda hufika huna budi kufanya maamuzi bora. Sisi binaadam tuna kasolo nyingi sana lakini mara nyingi tunasifika na mabaya yetu. Nashauri uzi huu pia ujadili mema ya Gwajima... ili kwa sie tulie mfahamu kwa udhaifu ulioandikwa hapa pia tumfahamu kwa memo yake. Hapo mzani utakaa sawa.
 
Sio kumtafuna tu Flora mpaka wamezaa naye mtoto na akavunja ndoa ya watu kabisa
 
Na madhaifu yake yote, ila jamaa ni jembe sana. Ana courage moja sio ya kikawaida. Namuelewa huyu mwamba kuliko watu wengine wengi wanao hubiri.
Mshika-ukuta huwa sikuzote akili Zenu fupi
 
Wapo wengi ambao ni wachungaji na pia ni viongozi wa kisiasa.
 
Aliacha kwani msigwa anahubiri kanisa gani?
 
Nadhani tuhuma za kuuza madawa ni kweli maana zilikuwa za mda mrefu kabla ya kugombana na makonda
 
Halafu mbona alimaliza haraka chap chap ya kijogoo na kuku
 
Laiti kama tungekuwa nchi ambayo Kuna Uhuru mkubwa wa jeshi la polisi kuchunguza wahalifu aina zote na kuwapeleka mahakamani bila kusubiri amri za kisiasa, watu kama Mchungaji Gwajima wangekuwa washafungwa siku nyingi sana.

1. Kujipatia pesa Kwa njia ya udanganyifu. Hili sio tu Gwajima Ila wachungaji wengi wanaojifanya wana miujiza.

Na mwisho kukusanya sadaka au kuchukua hela kwa maombi maalum. Wengi wangekuwa jela.

2. Utapeli
Mnamkumbuka Gwajima na kisa cha kumfufua Amina Chifupa? Hiki Tu kisa kimoja angepigwa miaka hata 15 enzi zile. Pengine leo asingekuwa anaenda gombania ubunge CCM

3. Sex with underage girls
Hiki nako hakihitaji hata uchunguzi wa kina; hata ambao hawapo kanisani kwake wanapata visa tele vya Gwajima.

4. Kuchanganya dini na siasa
Hiki sijui nianzie wapi, lakini itoshe kusema kila mwenye macho anaona.

5. Kukosa maadili kwa ujumla
Kuanzia video yake ya ngono na mambo mbalimbali yanayomhusu.

Iwapo Magufuli atampitisha Gwajima agombee, basi ama hakika wananchi watakuwa wameonewa sana. Ukichukulia vyama vya upinzani vinategemewa kubanwa hadi mwisho.

Hizi ni nyakati ambazo wenye akili wanaogopa kuongea but wapumbavu wanajitokeza kwa ujasiri mbele kabisa kusambaza upumbavu, lakini historia itahukumu kwa haki naamini.
Kamanatagombea Ubunge kwa tiketi ya CCM basi sawa, hayo hawatayaona ila ikiwa ni kinyume na hapo.....God knows
 
Tulika kaka tuchart sisi tunataka maendeleo na siyo porojo zako. Mambo binafsi yanatuhusu nini sisi watanzania? enzi zake na mzee wa manvi alihahidi kununua kama siyo ndege basi treni. Sisi watanzania tunasubili mambo makubwa zaidi ya hayo
 
Na madhaifu yake yote, ila jamaa ni jembe sana. Ana courage moja sio ya kikawaida. Namuelewa huyu mwamba kuliko watu wengine wengi wanao hubiri.

Yes atakuwa amepata ushauri toka mamlaka za juu za nchi.Kuna kitu in the background stay tuned.tunaona mengi wakati huu
 
Laiti kama tungekuwa nchi ambayo Kuna Uhuru mkubwa wa jeshi la polisi kuchunguza wahalifu aina zote na kuwapeleka mahakamani bila kusubiri amri za kisiasa, watu kama Mchungaji Gwajima wangekuwa washafungwa siku nyingi sana.

1. Kujipatia pesa Kwa njia ya udanganyifu. Hili sio tu Gwajima Ila wachungaji wengi wanaojifanya wana miujiza.

Na mwisho kukusanya sadaka au kuchukua hela kwa maombi maalum. Wengi wangekuwa jela.

2. Utapeli
Mnamkumbuka Gwajima na kisa cha kumfufua Amina Chifupa? Hiki Tu kisa kimoja angepigwa miaka hata 15 enzi zile. Pengine leo asingekuwa anaenda gombania ubunge CCM

3. Sex with underage girls
Hiki nako hakihitaji hata uchunguzi wa kina; hata ambao hawapo kanisani kwake wanapata visa tele vya Gwajima.

4. Kuchanganya dini na siasa
Hiki sijui nianzie wapi, lakini itoshe kusema kila mwenye macho anaona.

5. Kukosa maadili kwa ujumla
Kuanzia video yake ya ngono na mambo mbalimbali yanayomhusu.

Iwapo Magufuli atampitisha Gwajima agombee, basi ama hakika wananchi watakuwa wameonewa sana. Ukichukulia vyama vya upinzani vinategemewa kubanwa hadi mwisho.

Hizi ni nyakati ambazo wenye akili wanaogopa kuongea but wapumbavu wanajitokeza kwa ujasiri mbele kabisa kusambaza upumbavu, lakini historia itahukumu kwa haki naamini.
Zote hizo ni person attack hazina guilt kisheria,hao waumini hakuna mtoto hapo,kila mmoja anashida zake za kiroho,kutoa alichonacho kwa anayemuamini si kosa ni makubaliano binafsi
 
Binafsi namuunga mkono Gwajima. Jamaa ana convincing power ya ajabu. Na atashinda. Hayo mengine kwani anawabaka? Si wanakubali wenyewe ? Kuhusu uchungaji hiyo ni fursa tu. Kwa Tanzania ukifa masikini basi uliamua mwenyewe tu.
La kufufua watu huoni kama kosa?
 
Back
Top Bottom