Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,430
Kwa viti maalumu atapata na si kwa hoja
Si anatumia ujinga wa watu.Huyo hawezi fufua mtu. Ila kuna wanaomuamini ni haki yao kuamini pia. Ila huyu akipita CCM basi Mdee amwambie kabisa mbowe amuandalie ticket ya kiti maalum.La kufufua watu huoni kama kosa?
[emoji848]Aisee.
yale yalikuwaga maneno tu ila gwajima ni baba wa kiroho wa frola hadi leoHuyu si ndio alimtafunaga Flora yule mke wa mbasha??
ile ilikuwa nyimbo tu ili kupata vina lkn sio kweliNitashangaa, sana huyu mzee Uno aliyeimbwa na Hormonize apewe ubunge
mkuu The Boss ,moja ya watu huwa nawakubali sana hapa JF wewe ni miongoni mwao!Laiti kama tungekuwa nchi ambayo Kuna Uhuru mkubwa wa jeshi la polisi kuchunguza wahalifu aina zote na kuwapeleka mahakamani bila kusubiri amri za kisiasa, watu kama Mchungaji Gwajima wangekuwa washafungwa siku nyingi sana.
1. Kujipatia pesa Kwa njia ya udanganyifu. Hili sio tu Gwajima Ila wachungaji wengi wanaojifanya wana miujiza.
Na mwisho kukusanya sadaka au kuchukua hela kwa maombi maalum. Wengi wangekuwa jela.
2. Utapeli
Mnamkumbuka Gwajima na kisa cha kumfufua Amina Chifupa? Hiki Tu kisa kimoja angepigwa miaka hata 15 enzi zile. Pengine leo asingekuwa anaenda gombania ubunge CCM
3. Sex with underage girls
Hiki nako hakihitaji hata uchunguzi wa kina; hata ambao hawapo kanisani kwake wanapata visa tele vya Gwajima.
4. Kuchanganya dini na siasa
Hiki sijui nianzie wapi, lakini itoshe kusema kila mwenye macho anaona.
5. Kukosa maadili kwa ujumla
Kuanzia video yake ya ngono na mambo mbalimbali yanayomhusu.
Iwapo Magufuli atampitisha Gwajima agombee, basi ama hakika wananchi watakuwa wameonewa sana. Ukichukulia vyama vya upinzani vinategemewa kubanwa hadi mwisho.
Hizi ni nyakati ambazo wenye akili wanaogopa kuongea but wapumbavu wanajitokeza kwa ujasiri mbele kabisa kusambaza upumbavu, lakini historia itahukumu kwa haki naamini.
Akikujibu nitag mkuuMkuu denooJ
Huu ujumbe wako niufowadi kwa Msigwa pia.?
Ndoilvo kwa wapumbavu. Wanaweza kuropoka vitu ukajiulza ametoa wapi huo ujasirNa madhaifu yake yote, ila jamaa ni jembe sana. Ana courage moja sio ya kikawaida. Namuelewa huyu mwamba kuliko watu wengine wengi wanao hubiri.
Yaani wew unakiri kwamba unamuelewa yule tapeli wa kidini kuliko wote, duuh kweli binadamu tumetofautianaNa madhaifu yake yote, ila jamaa ni jembe sana. Ana courage moja sio ya kikawaida. Namuelewa huyu mwamba kuliko watu wengine wengi wanao hubiri.
mkuu The Boss ,moja ya watu huwa nawakubali sana hapa JF wewe ni miongoni mwao!
ila kwenye hili la Gwajima naomba nipingane nawe kidogo, katika baadhi ta hoja ulizoleta......
katika kashfa zake zote za ngono, sijawahi kusikia hata mara moja victim akija mbele ya umma kumlalamikia gwajima, kwaio hata tungekua ulaya still asingekua na kesi ya kujibu........
kuhusu kukusanya sadaka na vitu kama hivyo, nadhan hakuna sheria aliyoivunja, makanisa yote yanafanya hivo, waganga wanafanya hivo hata ccm wenyewe kile kinachoitwa 'kuchangua kampeni' ni njia tu ya kukusanya pesa!
kuhusu kuchanganya dini na siasa nadhani pia hauko sawa, mchungaji na mwanasiasa kwangu sioni tofauti...... actually natamani 'watumishi wa Mungu' wengi zaidi waingie kwenye siasa ili kuregulate maadili ya kitaifa hasa ishu za ufisadi, rushwa, n.k.....i think tunawahitaji watumishi wengi zaidi kwenye siasa!
hili neno kuchanganya dini na siasa nimeanzishwa ili kuzuia viongozi wa kidini wasianze kuwakosoa 'kondoo wao' (wanasiasa) hadharani, its sort of kujilinda......mbona Getrude Rwakatare alikua mbunge?......... na hawa viongozi kama hawataki kuchanganya haya kwanini huapa kwa kutumia vitabu vya dini?
Si anatumia ujinga wa watu.Huyo hawezi fufua mtu. Ila kuna wanaomuamini ni haki yao kuamini pia. Ila huyu akipita CCM basi Mdee amwambie kabisa mbowe amuandalie ticket ya kiti maalum.