Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,721
MnooUlili taman nn
MnooUlili taman nn
Wewe ni mzinzi?Nani sio mzinzi humu
Tuache maneno ana haki ya kufombea ni mtanzania kama ilivyo kwa halima mdee, mbona tuhuma za usagaji za halima hamzisemi humu au ndio maadili hayo
Hili limelishuhudia kwa macho na masikio yangu, nimekutana na mama aliyesali kwa hilo kanisa lake kwa muda mrefu sasa sijui alishtuka nini akawa anahama hilo kanisa.........nakwambia akaanza kuugua na kila akiombewa mapepo yana manifesti kuwa yanatoka kwa........na yanamtaka arudi aendelee kuita watu wajae kanisaniUkitaka kujua gwajima sio mtumishi ni mmliki genge la uhalifu angalia bodyguards wake pia angalia anavyoongea tu utapata kitu kingne dah! jamaa kamfanya mkewe zezeta zezeta.
hamna kitu mbaya kama watu wanaotakiwa kuchungaa kondoo na kugeuka wafaidika wa hao kondoo.........Binafsi namuunga mkono Gwajima. Jamaa ana convincing power ya ajabu. Na atashinda. Hayo mengine kwani anawabaka? Si wanakubali wenyewe ? Kuhusu uchungaji hiyo ni fursa tu. Kwa Tanzania ukifa masikini basi uliamua mwenyewe tu.
Umemsikia na NABII SHILLAH nae ametia nia kupitia CHADEMA?hamna kitu mbaya kama watu wanaotakiwa kuchungaa kondoo na kugeuka wafaidika wa hao kondoo.........
ukisikia mtumishi wa mungu anagombea nafasi za kisiasa ujue huyo si mtumishi wa mungu tena, ni bora wajitangaze wameachana na utumishi wa mungu na sasa wanataka kutumikia ufalme mwingineUmemsikia na NABII SHILLAH nae ametia nia kupitia CHADEMA?
Gwajima aka BAUNSA hafai kupewa hata kura moja labda ya Mkewe na Yake mwenyewe tu.Laiti kama tungekuwa nchi ambayo Kuna Uhuru mkubwa wa jeshi la polisi kuchunguza wahalifu aina zote na kuwapeleka mahakamani bila kusubiri amri za kisiasa, watu kama Mchungaji Gwajima wangekuwa washafungwa siku nyingi sana.
1. Kujipatia pesa Kwa njia ya udanganyifu. Hili sio tu Gwajima Ila wachungaji wengi wanaojifanya wana miujiza.
Na mwisho kukusanya sadaka au kuchukua hela kwa maombi maalum. Wengi wangekuwa jela.
2. Utapeli
Mnamkumbuka Gwajima na kisa cha kumfufua Amina Chifupa? Hiki Tu kisa kimoja angepigwa miaka hata 15 enzi zile. Pengine leo asingekuwa anaenda gombania ubunge CCM
3. Sex with underage girls
Hiki nako hakihitaji hata uchunguzi wa kina; hata ambao hawapo kanisani kwake wanapata visa tele vya Gwajima.
4. Kuchanganya dini na siasa
Hiki sijui nianzie wapi, lakini itoshe kusema kila mwenye macho anaona.
5. Kukosa maadili kwa ujumla
Kuanzia video yake ya ngono na mambo mbalimbali yanayomhusu.
Iwapo Magufuli atampitisha Gwajima agombee, basi ama hakika wananchi watakuwa wameonewa sana. Ukichukulia vyama vya upinzani vinategemewa kubanwa hadi mwisho.
Hizi ni nyakati ambazo wenye akili wanaogopa kuongea but wapumbavu wanajitokeza kwa ujasiri mbele kabisa kusambaza upumbavu, lakini historia itahukumu kwa haki naamini.
Akikushindwa kiroho wanatumika bodyguardsHili limelishuhudia kwa macho na masikio yangu, nimekutana na mama aliyesali kwa hilo kanisa lake kwa muda mrefu sasa sijui alishtuka nini akawa anahama hilo kanisa.........nakwambia akaanza kuugua na kila akiombewa mapepo yana manifesti kuwa yanatoka kwa........na yanamtaka arudi aendelee kuita watu wajae kanisani
tokea siku hiyo nikajua huyo anayejita askofu ana nguvu zingine zingine ndani yake
Utiaji nia mwaka huu ni uchafu mtupuLaiti kama tungekuwa nchi ambayo Kuna Uhuru mkubwa wa jeshi la polisi kuchunguza wahalifu aina zote na kuwapeleka mahakamani bila kusubiri amri za kisiasa, watu kama Mchungaji Gwajima wangekuwa washafungwa siku nyingi sana.