DuuhBinafsi namuunga mkono Gwajima. Jamaa ana convincing power ya ajabu. Na atashinda. Hayo mengine kwani anawabaka? Si wanakubali wenyewe ? Kuhusu uchungaji hiyo ni fursa tu. Kwa Tanzania ukifa masikini basi uliamua mwenyewe tu.
Hatuwezi fanana vitu tinavyopenda kama mayaiNawashanga wanaomwamini huyu kanjanja.
Mkuu, mimi ninachotaka kujua, je hao akina mchungaji Msigwa hawachanganyi dini na siasa?[SUP]Two wrongs do not make it right[/SUP]
Kawe tunamsubiri kwa hamu. Nadhani, Kawe ndipo mahali CCM itaonyeshwa kwa uwazi kwamba ujanja na ulaghai hauwezi kufua dafu kwa wanaojitambua. Gwajima anaenda kuabishwa, na CCM inaenda kuaibishwa kupitia huyu msanii anayemkata vipande vipande Yesu na kwenda kuviuza!Laiti kama tungekuwa nchi ambayo Kuna Uhuru mkubwa wa jeshi la polisi kuchunguza wahalifu aina zote na kuwapeleka mahakamani bila kusubiri amri za kisiasa, watu kama Mchungaji Gwajima wangekuwa washafungwa siku nyingi sana.
1. Kujipatia pesa Kwa njia ya udanganyifu. Hili sio tu Gwajima Ila wachungaji wengi wanaojifanya wana miujiza.
Na mwisho kukusanya sadaka au kuchukua hela kwa maombi maalum. Wengi wangekuwa jela.
2. Utapeli
Mnamkumbuka Gwajima na kisa cha kumfufua Amina Chifupa? Hiki Tu kisa kimoja angepigwa miaka hata 15 enzi zile. Pengine leo asingekuwa anaenda gombania ubunge CCM
3. Sex with underage girls
Hiki nako hakihitaji hata uchunguzi wa kina; hata ambao hawapo kanisani kwake wanapata visa tele vya Gwajima.
4. Kuchanganya dini na siasa
Hiki sijui nianzie wapi, lakini itoshe kusema kila mwenye macho anaona.
5. Kukosa maadili kwa ujumla
Kuanzia video yake ya ngono na mambo mbalimbali yanayomhusu.
Iwapo Magufuli atampitisha Gwajima agombee, basi ama hakika wananchi watakuwa wameonewa sana. Ukichukulia vyama vya upinzani vinategemewa kubanwa hadi mwisho.
Hizi ni nyakati ambazo wenye akili wanaogopa kuongea but wapumbavu wanajitokeza kwa ujasiri mbele kabisa kusambaza upumbavu, lakini historia itahukumu kwa haki naamini.
Mchungaji ni kama Padri tu, huwa hawana makanisa yao binafsiNionyeshe kanisa la Mchungaji Msigwa haalfu tuanze upyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
I don't even care. Kuliko kupambana na Gwajima bora kupambana kuondoa ujinga kwa wananchi. Kwa sababu Gwajima anareflect wananchi walivyo. Ila Mdee nae hakuna cha maana alichofanya Kawe. Bora hata Gwajima anaweza kutuletea wafadhili kutoka Japani. Imagine kiwanda cha Nissan cha kuassemble magari kinajengwa Kawe .Ajira nyingi sana...Kwahiyo kwako kumtoa Mdee ndo muhimu
Kuliko kuona huyu mhalifu tapeli anaingia bungeni?
Yani gwajima alete wafadhili hixo ndoto pevu kweli na kikiletwa experts watakuwa wachache Sana, yeye akiukwaa ubunge atanenepa shavu liwe dodo. Mimi ubunge kwa nchi hii huwa sioni umuhimu waoI don't even care. Kuliko kupambana na Gwajima bora kupambana kuondoa ujinga kwa wananchi. Kwa sababu Gwajima anareflect wananchi walivyo. Ila Mdee nae hakuna cha maana alichofanya Kawe. Bora hata Gwajima anaweza kutuletea wafadhili kutoka Japani. Imagine kiwanda cha Nissan cha kuassemble magari kinajengwa Kawe .Ajira nyingi sana...
Mr Mdee hawezi lolote.Yule lesbian wa kawe atamuweza mtumishi wa MUNGU?
Akili za meko na gwaji boy zote zipo sawa.Laiti kama tungekuwa nchi ambayo Kuna Uhuru mkubwa wa jeshi la polisi kuchunguza wahalifu aina zote na kuwapeleka mahakamani bila kusubiri amri za kisiasa, watu kama Mchungaji Gwajima wangekuwa washafungwa siku nyingi sana.
1. Kujipatia pesa Kwa njia ya udanganyifu. Hili sio tu Gwajima Ila wachungaji wengi wanaojifanya wana miujiza.
Na mwisho kukusanya sadaka au kuchukua hela kwa maombi maalum. Wengi wangekuwa jela.
2. Utapeli
Mnamkumbuka Gwajima na kisa cha kumfufua Amina Chifupa? Hiki Tu kisa kimoja angepigwa miaka hata 15 enzi zile. Pengine leo asingekuwa anaenda gombania ubunge CCM
3. Sex with underage girls
Hiki nako hakihitaji hata uchunguzi wa kina; hata ambao hawapo kanisani kwake wanapata visa tele vya Gwajima.
4. Kuchanganya dini na siasa
Hiki sijui nianzie wapi, lakini itoshe kusema kila mwenye macho anaona.
5. Kukosa maadili kwa ujumla
Kuanzia video yake ya ngono na mambo mbalimbali yanayomhusu.
Iwapo Magufuli atampitisha Gwajima agombee, basi ama hakika wananchi watakuwa wameonewa sana. Ukichukulia vyama vya upinzani vinategemewa kubanwa hadi mwisho.
Hizi ni nyakati ambazo wenye akili wanaogopa kuongea but wapumbavu wanajitokeza kwa ujasiri mbele kabisa kusambaza upumbavu, lakini historia itahukumu kwa haki naamini.
Matapeli wote wapo CCM hivyo anajihamiLaiti kama tungekuwa nchi ambayo Kuna Uhuru mkubwa wa jeshi la polisi kuchunguza wahalifu aina zote na kuwapeleka mahakamani bila kusubiri amri za kisiasa, watu kama Mchungaji Gwajima wangekuwa washafungwa siku nyingi sana.
1. Kujipatia pesa Kwa njia ya udanganyifu. Hili sio tu Gwajima Ila wachungaji wengi wanaojifanya wana miujiza.
Na mwisho kukusanya sadaka au kuchukua hela kwa maombi maalum. Wengi wangekuwa jela.
2. Utapeli
Mnamkumbuka Gwajima na kisa cha kumfufua Amina Chifupa? Hiki Tu kisa kimoja angepigwa miaka hata 15 enzi zile. Pengine leo asingekuwa anaenda gombania ubunge CCM
3. Sex with underage girls
Hiki nako hakihitaji hata uchunguzi wa kina; hata ambao hawapo kanisani kwake wanapata visa tele vya Gwajima.
4. Kuchanganya dini na siasa
Hiki sijui nianzie wapi, lakini itoshe kusema kila mwenye macho anaona.
5. Kukosa maadili kwa ujumla
Kuanzia video yake ya ngono na mambo mbalimbali yanayomhusu.
Iwapo Magufuli atampitisha Gwajima agombee, basi ama hakika wananchi watakuwa wameonewa sana. Ukichukulia vyama vya upinzani vinategemewa kubanwa hadi mwisho.
Hizi ni nyakati ambazo wenye akili wanaogopa kuongea but wapumbavu wanajitokeza kwa ujasiri mbele kabisa kusambaza upumbavu, lakini historia itahukumu kwa haki naamini.
Laiti kama tungekuwa nchi ambayo Kuna Uhuru mkubwa wa jeshi la polisi kuchunguza wahalifu aina zote na kuwapeleka mahakamani bila kusubiri amri za kisiasa, watu kama Mchungaji Gwajima wangekuwa washafungwa siku nyingi sana.
1. Kujipatia pesa Kwa njia ya udanganyifu. Hili sio tu Gwajima Ila wachungaji wengi wanaojifanya wana miujiza.
Na mwisho kukusanya sadaka au kuchukua hela kwa maombi maalum. Wengi wangekuwa jela.
2. Utapeli
Mnamkumbuka Gwajima na kisa cha kumfufua Amina Chifupa? Hiki Tu kisa kimoja angepigwa miaka hata 15 enzi zile. Pengine leo asingekuwa anaenda gombania ubunge CCM
3. Sex with underage girls
Hiki nako hakihitaji hata uchunguzi wa kina; hata ambao hawapo kanisani kwake wanapata visa tele vya Gwajima.
4. Kuchanganya dini na siasa
Hiki sijui nianzie wapi, lakini itoshe kusema kila mwenye macho anaona.
5. Kukosa maadili kwa ujumla
Kuanzia video yake ya ngono na mambo mbalimbali yanayomhusu.
Iwapo Magufuli atampitisha Gwajima agombee, basi ama hakika wananchi watakuwa wameonewa sana. Ukichukulia vyama vya upinzani vinategemewa kubanwa hadi mwisho.
Hizi ni nyakati ambazo wenye akili wanaogopa kuongea but wapumbavu wanajitokeza kwa ujasiri mbele kabisa kusambaza upumbavu, lakini historia itahukumu kwa haki naamini.
Huyu ana laana ya kumtukana Cardinal PengoLaiti kama tungekuwa nchi ambayo Kuna Uhuru mkubwa wa jeshi la polisi kuchunguza wahalifu aina zote na kuwapeleka mahakamani bila kusubiri amri za kisiasa, watu kama Mchungaji Gwajima wangekuwa washafungwa siku nyingi sana.