Kwa vyama visivyo na agenda, kweli hii inafaa Kuwa agenda yao!Laiti kama tungekuwa nchi ambayo Kuna Uhuru mkubwa wa jeshi la polisi kuchunguza wahalifu aina zote na kuwapeleka mahakamani bila kusubiri amri za kisiasa, watu kama Mchungaji Gwajima wangekuwa washafungwa siku nyingi sana.
1. Kujipatia pesa Kwa njia ya udanganyifu. Hili sio tu Gwajima Ila wachungaji wengi wanaojifanya wana miujiza.
Na mwisho kukusanya sadaka au kuchukua hela kwa maombi maalum. Wengi wangekuwa jela.
2. Utapeli
Mnamkumbuka Gwajima na kisa cha kumfufua Amina Chifupa? Hiki Tu kisa kimoja angepigwa miaka hata 15 enzi zile. Pengine leo asingekuwa anaenda gombania ubunge CCM
3. Sex with underage girls
Hiki nako hakihitaji hata uchunguzi wa kina; hata ambao hawapo kanisani kwake wanapata visa tele vya Gwajima.
4. Kuchanganya dini na siasa
Hiki sijui nianzie wapi, lakini itoshe kusema kila mwenye macho anaona.
5. Kukosa maadili kwa ujumla
Kuanzia video yake ya ngono na mambo mbalimbali yanayomhusu.
Iwapo Magufuli atampitisha Gwajima agombee, basi ama hakika wananchi watakuwa wameonewa sana. Ukichukulia vyama vya upinzani vinategemewa kubanwa hadi mwisho.
Hizi ni nyakati ambazo wenye akili wanaogopa kuongea but wapumbavu wanajitokeza kwa ujasiri mbele kabisa kusambaza upumbavu, lakini historia itahukumu kwa haki naamini.
Mkuu usisahau ya kuwa atatakaswa na kusafishwa vilivyo kwa maana "ikitajwa kanisa ndio limeshikilia amani ya nchi"Laiti kama tungekuwa nchi ambayo Kuna Uhuru mkubwa wa jeshi la polisi kuchunguza wahalifu aina zote na kuwapeleka mahakamani bila kusubiri amri za kisiasa, watu kama Mchungaji Gwajima wangekuwa washafungwa siku nyingi sana.
1. Kujipatia pesa Kwa njia ya udanganyifu. Hili sio tu Gwajima Ila wachungaji wengi wanaojifanya wana miujiza.
Na mwisho kukusanya sadaka au kuchukua hela kwa maombi maalum. Wengi wangekuwa jela.
2. Utapeli
Mnamkumbuka Gwajima na kisa cha kumfufua Amina Chifupa? Hiki Tu kisa kimoja angepigwa miaka hata 15 enzi zile. Pengine leo asingekuwa anaenda gombania ubunge CCM
3. Sex with underage girls
Hiki nako hakihitaji hata uchunguzi wa kina; hata ambao hawapo kanisani kwake wanapata visa tele vya Gwajima.
4. Kuchanganya dini na siasa
Hiki sijui nianzie wapi, lakini itoshe kusema kila mwenye macho anaona.
5. Kukosa maadili kwa ujumla
Kuanzia video yake ya ngono na mambo mbalimbali yanayomhusu.
Iwapo Magufuli atampitisha Gwajima agombee, basi ama hakika wananchi watakuwa wameonewa sana. Ukichukulia vyama vya upinzani vinategemewa kubanwa hadi mwisho.
Hizi ni nyakati ambazo wenye akili wanaogopa kuongea but wapumbavu wanajitokeza kwa ujasiri mbele kabisa kusambaza upumbavu, lakini historia itahukumu kwa haki naamini.
Ukiitazama njia apitayo utapata majibu halisi na akishafeli huko pasina aibu hutafuta nafasi upande wa pili... "kwa maana wapo kwa maslahi yao!"Huyo mcheza ngono hana nafasi kati ya watanzania waadilifu
Aah Gwajiboy... wamwache akule kondoo wa bwana... kwa maana wamejipeleka wenyewe!!!Gwaji! Halazimishi mtu aende kanisani kwake, Vinginevyo hizi ni siasa kama siasa zingine au hofu ya Jimbo!!
Kwa vile hajawahi kutiwa hatihani Kwa orodha ya makosa hayo! Anayo haki ya kugombea nafasi yoyote na akibahatika kupita iwe kheri,
Kosa lake ni kuomba kugombea kupitia Chama usichokipenda ama kuwa kiongozi wa Kiroho maana si Kwa majungu na wivu huo!!
Unaandika kama vile Mimi ni shabiki na kiongozi wa Chadema?..Tatizo la Gwajima ni upande aliopo tu. Kipindi kile anaunga mkono makamanda aliimbiwa sifa zote. Purely politics! Kwani uchungaji ameanza juzi? Kwanini leo ndio awe tapeli?
Vyote ulivyosema ni porojo tu, be very careful unaponyooshea kidogo watumishi wa Mungu.Laiti kama tungekuwa nchi ambayo Kuna Uhuru mkubwa wa jeshi la polisi kuchunguza wahalifu aina zote na kuwapeleka mahakamani bila kusubiri amri za kisiasa, watu kama Mchungaji Gwajima wangekuwa washafungwa siku nyingi sana.
1. Kujipatia pesa Kwa njia ya udanganyifu. Hili sio tu Gwajima Ila wachungaji wengi wanaojifanya wana miujiza.
Na mwisho kukusanya sadaka au kuchukua hela kwa maombi maalum. Wengi wangekuwa jela.
2. Utapeli
Mnamkumbuka Gwajima na kisa cha kumfufua Amina Chifupa? Hiki Tu kisa kimoja angepigwa miaka hata 15 enzi zile. Pengine leo asingekuwa anaenda gombania ubunge CCM
3. Sex with underage girls
Hiki nako hakihitaji hata uchunguzi wa kina; hata ambao hawapo kanisani kwake wanapata visa tele vya Gwajima.
4. Kuchanganya dini na siasa
Hiki sijui nianzie wapi, lakini itoshe kusema kila mwenye macho anaona.
5. Kukosa maadili kwa ujumla
Kuanzia video yake ya ngono na mambo mbalimbali yanayomhusu.
Iwapo Magufuli atampitisha Gwajima agombee, basi ama hakika wananchi watakuwa wameonewa sana. Ukichukulia vyama vya upinzani vinategemewa kubanwa hadi mwisho.
Hizi ni nyakati ambazo wenye akili wanaogopa kuongea but wapumbavu wanajitokeza kwa ujasiri mbele kabisa kusambaza upumbavu, lakini historia itahukumu kwa haki naamini.
Je angetia kugombea kupitia chadema ingekuwaje?Laiti kama tungekuwa nchi ambayo Kuna Uhuru mkubwa wa jeshi la polisi kuchunguza wahalifu aina zote na kuwapeleka mahakamani bila kusubiri amri za kisiasa, watu kama Mchungaji Gwajima wangekuwa washafungwa siku nyingi sana.
1. Kujipatia pesa Kwa njia ya udanganyifu. Hili sio tu Gwajima Ila wachungaji wengi wanaojifanya wana miujiza.
Na mwisho kukusanya sadaka au kuchukua hela kwa maombi maalum. Wengi wangekuwa jela.
2. Utapeli
Mnamkumbuka Gwajima na kisa cha kumfufua Amina Chifupa? Hiki Tu kisa kimoja angepigwa miaka hata 15 enzi zile. Pengine leo asingekuwa anaenda gombania ubunge CCM
3. Sex with underage girls
Hiki nako hakihitaji hata uchunguzi wa kina; hata ambao hawapo kanisani kwake wanapata visa tele vya Gwajima.
4. Kuchanganya dini na siasa
Hiki sijui nianzie wapi, lakini itoshe kusema kila mwenye macho anaona.
5. Kukosa maadili kwa ujumla
Kuanzia video yake ya ngono na mambo mbalimbali yanayomhusu.
Iwapo Magufuli atampitisha Gwajima agombee, basi ama hakika wananchi watakuwa wameonewa sana. Ukichukulia vyama vya upinzani vinategemewa kubanwa hadi mwisho.
Hizi ni nyakati ambazo wenye akili wanaogopa kuongea but wapumbavu wanajitokeza kwa ujasiri mbele kabisa kusambaza upumbavu, lakini historia itahukumu kwa haki naamini.
Hili ni tatizo kubwa sana awamu ya tano. Kuna kundi lililopewa kazi ya kusambaza upumbavu kwa kujua werevu wapo kimya.Hizi ni nyakati ambazo wenye akili wanaogopa kuongea but wapumbavu wanajitokeza kwa ujasiri mbele kabisa kusambaza upumbavu, lakini historia itahukumu kwa haki naamini.
Ww mwenyewe muongo unamwambieje mtumishi wa Mungu hafaiMaadili ndio kila kitu
Kuwa jembe huku unatangaza kufufua watu
Kwa kuwatapeli
Mkuu hii si ilipigiwa debe kuwa ni fake?Kuanzia video yake ya ngono na mambo mbalimbali yana
Pole Sana!Na madhaifu yake yote, ila jamaa ni jembe sana. Ana courage moja sio ya kikawaida. Namuelewa huyu mwamba kuliko watu wengine wengi wanao hubiri.
Pole Sana!namuelewa sana gwajiboy
Comment yako ni ya viwango vya juu hahaha yaani paragraph ya pili duhhhh!Kijamaa ni kinafiki, kizinzi na pia ni ki opportunist cha kiwango cha kimataifa! Ndiyo hiki hiki mwaka 2015, kilimpamba Lowasa kwenye kampeni kiasi cha kuwaambia wasiompenda huyo Lowasa, basi wakale malimao!
Ila tangu ile video yake ya kumaliza ndani ya dk 2 kinyume kabisa na utaratibu kwa wanaume walio kamilika kuvuja, kimeamua kurudi kwenye fani yake pendwa ya unafiki. Sidhani kama kuna mpiga kura mwenye akili timamu atamchagua Gwajiboy!