Njopino
JF-Expert Member
- Apr 8, 2014
- 3,468
- 5,060
Yaap, lakini mkuu rangi ya mapazia haifanyi ile video kuwa sio mtumishi wa Mungu, inawezekana picha alopiga kwenye pazia ya zambarau yapo upande mmoja na ile picha nyingine imepigwa upande mwingine au picha moja imepigwa chumbani na nyingine imepigwa sebleni maana yangu ni kuwa kunaweza kuwa na nadharia nyingi juu ya hizo pazia hivyo jambo la msingi ni kudhibitisha kuwa yule anayegegeda sio mtumishi wa Mungu kwa kuleta reference.Mbona kwenye ile clip alokuwa kifua wazi moja ya rangi za mapazia ni zambarau na kwenye ile anayomtia mapazia yake hayana hiyo rangi kabisa? Itakuwa ni ya uongo hii