Gwajima hana pua kubwa kama ile, hana macho kama yale. Siyo Gwajima yule

Gwajima hana pua kubwa kama ile, hana macho kama yale. Siyo Gwajima yule

, Mazingira ya video inayoonyeshwa na mazingira ya picha iliyotumwa hayaendani, angalia mapazia na background zimetofautiana kabisa

Hivi hizo picha wameandika pia ni za muda wa tukio moja au wameweka details pia zenye info za siku na saa? Naona wengine tunawasoma tu humu hata hatutaki kuziona.
 
Achana na picha njoo nikutumie video umuone vizuri.
Oanisha paji la uso wa picha ya juu na chini utaona tofauti kwa picha ya juu paji la uso limepanda juu na refu tofauti na picha ya chini paji la uso ni mviringo.

Labda tuseme picha ya chini ni photoshop but i dont see any...
 
watu wanafanana mzee..... kumbukeni hata Kikwete na Membe..... MEMBE ANGEWEZA KUJIFANYA KIKWETE NA KWA KUFANANA KULE WENGI WANGEAMINI..... muda tu utasema pale Gwajima akimleta muhusika wa ile scandal.
Du mahaba haya.
 
Hata mimi ambaye simjui huyo mtu lakini baada ya kuangalia hizo video na kufananisha na zile za hadharani ukweli unabaki kuwa huyo ndie yule anayejiita askofu. Yaani Gwajima. Kidole hicho.
 
Sio gwajima yule acheni kudanganywa kizembe hivi,teknologia inatengeza chochote,kwani ile video ya lema nayo si ilitengenezwa hivi hivi tu.
 
Picha alokaa kifua wazi kwenye mapazia Kuna hadi rangi ya zambarau halafu kwenye ile anayomwaga miuno mapazia hayana rangi ya zambarau,so yawezekana ni feki!
 
Hata mimi ambaye simjui huyo mtu lakini baada ya kuangalia hizo video na kufananisha na zile za hadharani ukweli unabaki kuwa huyo ndie yule anayejiita askofu. Yaani Gwajima. Kidole hicho.
Mkuu naomba uni-PM na Mimi hiyo video, maana leo kila kona ni gwajima tu
 
Yani hapo ndo ingekuwa poa zaidi, angetuambia mtumishi huyu, mzee wa mgegedo huyu. Mtumishi ana features hizi, huyu mwengine ana features hizi, hapo tungeelewa zaidi na sio porojo porojo za sokomoko
Mbona kwenye ile clip alokuwa kifua wazi moja ya rangi za mapazia ni zambarau na kwenye ile anayomtia mapazia yake hayana hiyo rangi kabisa? Itakuwa ni ya uongo hii
 
Hebu weka picha zenye alignment inayofanana mkuu. Maana hapo bado kuna features zinaleta utata kutokana na ligament kuwa tofauti.
Kazi unayo doubting tomaso .wenzako tuko bize kufatilia ule mzigo usiotingishika katoka mechi wewe unahangaika na sura ya gwaki boy?
 
Back
Top Bottom