Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,033
- 10,622
U wish....What if Akatokea mtu anayefanana na Gwajima akasema ni yeye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
U wish....What if Akatokea mtu anayefanana na Gwajima akasema ni yeye
[emoji23][emoji23]Nakumbuka wakati kaitwa sentro mlienda kuimba kwaya pale nje ya sentro!
Share na mimi pmnikiangalia video naona kama sio yeye.
nikiangalia video naona kama sio yeye.
HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE:
_"Wakati anapambana na mimi kipindi cha operesheni yangu ya tokomeza madawa ya kulevya nilisema hawezi kunishinda kwa sababu najua sio mchungaji bali ni tapeli tu wa mjini anayetumia kanisa kutapeli watu._
_Niliamua kuwa mpole ili nione mwisho wa mashambulizi yake, sasa nadhani kwa pigo hili watu wataamua nani mshindi kati yangu na yeye._
_Nimeshatoa maelekezo kwa kamanda Mambosasa amsake popote alipo akaeleze kwanini amekuwa akiwanyanyasa waumini kingono"_
*- RC Makonda*
Kamanda ni yeye na picha Lao limeanzia mbali
Yule bint Alianza kuombewa yaani alikuja kufanyiwa maombikivipi? limeanzia wapi?
Leo kwa mara ya kwanza cocochanel nimekupa "Like "Kwa kile kideo tumuache tu ajieleze mwenyewe au labda akae kimya tu akiamua ni sawa tu.
Jumapili ijayo macho na masikio yote kwake..
Hakimu Mfawidhi una roho mbaya mabayo sisi watoa haki hatuna, wewe ndiye unapotosha kabisa,na wewe unajiona umeandika points kumbe upupu mtupu
i
Swali zuri sana akikujibu nitag mkuu
Original video ilirekodiwa Alhamisi tarehe 15/11/2018 saa 2:49 usiku.Nimeiona Video, Mimi sio Muumini wake but imenipa shida moyoni kuona Mtumishi aliyeaminika Kama Gwajima akianguka kizembe namna hii kisa Mwanamke.......
Mbaya zaidi alikua anaji record mweyewe!
Video original kabisa haina u fake wowote, ipo clear na aliji shoot kwa Mapenzi yake!
Gwajima kawapa chakusema watesi wake. ....
Aombe tu Msamaha kwa Waumini wake, kusema Video fake haisaidii kuondoa ukweli... .!
Kama umeiona ile Video unawezaje kupata nguvu kuja kumtetea Gwajima hapa? Labda kama umelipwa....!
We mtumishi ngoja na zile za ki amber rutty style zivuje ndo utaongea frxh, yaan watu wanagongana kanisani afu bado mnateteaVideo ya kumchafua Askofu Gwajima inayosambaa mitandaoni imeshafahamika ni fake.
Watesi wake jipangeni upya.
Software iitwayo REALITY DEFENDER imewaumbua