Gwajima hana pua kubwa kama ile, hana macho kama yale. Siyo Gwajima yule

Wanaume tuna vichwa viwili unajua vinafanyaje kazi? Kila kimoja kinacontrol mwenzake...

Eat what u see
 
Nimetizama video (ile version ndefu). Kwa kweli kuna utata mkubwa. Hata kama ni yeye, kuikataa ni rahisi sana.

Huyu wa kwenye video yupo tofauti kidogo na picha nyingine/video nyingine tunazoziona za Gwajima.

But all in all, yeye ni Mwanamume kama tulivyo wengine. Wanaume wote "mama yetu" ni mmoja tu! Tunafanana.
Vipi swala hili kama angefanya Bashite?
 
The only way ya Askofu kujinasua katika hili ni kuleta mtu alievalishwa mask akafanana nae 99% kisha akamsimamisha mbele ya waumini wake na kusema huyu ndie Gwajima wa kwenye video.. hapo nitaelewa na atarudisha credibility yake iliyoporomoka kwa sasa. Otherwise ni ngumu aisee.. najua uwezo huo anao..😁😁😁
 
Kwani angle ya picha ya juu ilivyopigwa ni sawa na angle ya picha ya chini iliyo pigwa ?

Kaka sisi wengine sio wapiga ila kuzitazama picha tunajua.
Hata kama siyo mpiga picha ila kiuhalisia tu hapo hauhitaji utaalam wowote kuoanisha taswira mbili zisizofanana.

Kichwa cha gwajina siyo horizontal ni round na hana paji la uso lenye kibiongo, ila tusubiri soon ukweli utakuja hapa hapa.
 
ndo yeye mkuu mi nilikua nabisha ila nimekubali. pua, ndevu za mdomo, masikio, komwe na kipara ni yeye 99%

58994663_279509889623105_290395989538802559_n.jpg
 
Video ya kumchafua Askofu Gwajima inayosambaa mitandaoni imeshafahamika ni fake.
Watesi wake jipangeni upya.

Software iitwayo REALITY DEFENDER imewaumbua
Original video ilirekodiwa Alhamisi tarehe 15/11/2018 saa 2:49 usiku.
Ukweli utajulikana tu
hongera kwa kupewa tender ya kuitangaza hiyo software uchwara....ila wananzengo tumegoma...tunasema yule ni yeye mwenyewe gwajima proper.
 
Una vipimo vya mwili wake?
watu wanafanana mzee..... kumbukeni hata Kikwete na Membe..... MEMBE ANGEWEZA KUJIFANYA KIKWETE NA KWA KUFANANA KULE WENGI WANGEAMINI..... muda tu utasema pale Gwajima akimleta muhusika wa ile scandal.
 
Nimeangalia hiyo video na Picha zinazotumwa kwenye mitandao kumuonyesha Mtumishi wa Mungu GWAJIMA akifanya mapenzi na mwanamke akiwa chumbani nimegundua ni zakutengenezwa..
Kwanza ifahamike, Mimi sio mshirika wa Gwajima wala siandiki ili kumtetea.Mimi ni mtaalamu wa maswala ya ICT, na nimefanyakazi nyingi sana za Photoshop na Editting za picha mbalimbali
Kwanza, nimefuatilia kuhusu hiyo video, ni kweli huyo ni Gwajima Ila hiyo sauti ya mwanamke inayosikika ni sauti iliyopenyezwa haitokani na uhalisia wa tukio
Pili, Hiyo picha inayomuonyesha Gwajima kwamba amelala juu ya mwanamke ni picha iliyotengenezwa, Ukiangalia maungo kati ya shingo na kichwa cha Gwajima kilipopachikwa utaelewa kuwa Gwajima hana shingo ndefu namna ile.Hicho kichwa kimekuwa croped kutoka katika ile video
Tatu, Mazingira ya video inayoonyeshwa na mazingira ya picha iliyotumwa hayaendani, angalia mapazia na background zimetofautiana kabisa
Nne, Ni swala la kujiuliza maswali ya logic tu ambayo yatakupa kujua Hilo tukio Si la kweli Bali kutengenezwa. Je ni nani ambaye Gwajima angekubali ampige picha wakati anafanya mapenzi?Kama huyo mwanamke ni mchepuko wake, Je Gwajima ni kwamba hana akili mpaka akubali kupigwa picha akiwa anafanya mapenzi? Hata kama angekuwa kweli yupo na mkewe au mchepuko, isingewezekana kukubali kupigwa picha, ajipige picha ili akamuonyeshe nani?
Hizi taarifa ni za uongo kabisa zenye lengo Si tu la kumchafua na Kumshushia heshima Gwajima Bali linachafua kanisa la Mungu kwa ujumla, hata kama Gwajima humpendi au sio mchungaji wako lakini kufurahia aibu na video hzi kwa Gwajima ikiwa ni Kuutukanisha Ukristo wako pia na kumtukana Mungu
Hivyo, Ikiwa kweli wewe ni mkristo wa kweli lazima utaukemea ushetani huu unaosambazwa na maajenti ya ibilisi kuuchafua ukristo kwa ujumla.Hivyo kushiriki kufurahia au kusambaza taarifa hizi chafu kwa kufurahia aibu hii kwa Gwajima ujue unashiriki kazi za shetani, na wewe ni mchafu wa namna hiyo hiyo
Shujaa CRM

Maswali uliyojiuliza ni ya kipumbavu!!

Kwani huyo mwanamke ndio wa kunza kurekodiwa video za hivyo?

Hao ambao wamewagi kupiga picha za hivyo walipiga ili wanuoneshe nani?

Hao ambao wamewahi kuoiga picha za hivyo hawana akili?
 
Mi sijaamin pic, hadi nione video yenyewe
 
Kama sio yeye tunaomba namba ya yule jamaa basi maana anatoomba vizuri sana
 
Nimeangalia hiyo video na Picha zinazotumwa kwenye mitandao kumuonyesha Mtumishi wa Mungu GWAJIMA akifanya mapenzi na mwanamke akiwa chumbani nimegundua ni zakutengenezwa..
Kwanza ifahamike, Mimi sio mshirika wa Gwajima wala siandiki ili kumtetea.Mimi ni mtaalamu wa maswala ya ICT, na nimefanyakazi nyingi sana za Photoshop na Editting za picha mbalimbali
Kwanza, nimefuatilia kuhusu hiyo video, ni kweli huyo ni Gwajima Ila hiyo sauti ya mwanamke inayosikika ni sauti iliyopenyezwa haitokani na uhalisia wa tukio
Pili, Hiyo picha inayomuonyesha Gwajima kwamba amelala juu ya mwanamke ni picha iliyotengenezwa, Ukiangalia maungo kati ya shingo na kichwa cha Gwajima kilipopachikwa utaelewa kuwa Gwajima hana shingo ndefu namna ile.Hicho kichwa kimekuwa croped kutoka katika ile video
Tatu, Mazingira ya video inayoonyeshwa na mazingira ya picha iliyotumwa hayaendani, angalia mapazia na background zimetofautiana kabisa
Nne, Ni swala la kujiuliza maswali ya logic tu ambayo yatakupa kujua Hilo tukio Si la kweli Bali kutengenezwa. Je ni nani ambaye Gwajima angekubali ampige picha wakati anafanya mapenzi?Kama huyo mwanamke ni mchepuko wake, Je Gwajima ni kwamba hana akili mpaka akubali kupigwa picha akiwa anafanya mapenzi? Hata kama angekuwa kweli yupo na mkewe au mchepuko, isingewezekana kukubali kupigwa picha, ajipige picha ili akamuonyeshe nani?
Hizi taarifa ni za uongo kabisa zenye lengo Si tu la kumchafua na Kumshushia heshima Gwajima Bali linachafua kanisa la Mungu kwa ujumla, hata kama Gwajima humpendi au sio mchungaji wako lakini kufurahia aibu na video hzi kwa Gwajima ikiwa ni Kuutukanisha Ukristo wako pia na kumtukana Mungu
Hivyo, Ikiwa kweli wewe ni mkristo wa kweli lazima utaukemea ushetani huu unaosambazwa na maajenti ya ibilisi kuuchafua ukristo kwa ujumla.Hivyo kushiriki kufurahia au kusambaza taarifa hizi chafu kwa kufurahia aibu hii kwa Gwajima ujue unashiriki kazi za shetani, na wewe ni mchafu wa namna hiyo hiyo
Shujaa CRM
Hawafanani? au nikupe na jina la Binti? kadanganye waumini wako
IMG-20190507-WA0163.jpeg
IMG-20190507-WA0162.jpeg
 
Ni upuuzi kutetea Uzinzi wa Askofu kwa Mwamvuli wa Ukristo...... Ile Video kajishoot mwenyewe, ww unakuja hapa na porojo.........
Wachungaji ni binadamu pia wakikosea tuwaambie wamekosea sio kutetea ujinga....... .
 
Back
Top Bottom