Gwajima hana pua kubwa kama ile, hana macho kama yale. Siyo Gwajima yule

Mbona kwenye ile clip alokuwa kifua wazi moja ya rangi za mapazia ni zambarau na kwenye ile anayomtia mapazia yake hayana hiyo rangi kabisa? Itakuwa ni ya uongo hii
Yaap, lakini mkuu rangi ya mapazia haifanyi ile video kuwa sio mtumishi wa Mungu, inawezekana picha alopiga kwenye pazia ya zambarau yapo upande mmoja na ile picha nyingine imepigwa upande mwingine au picha moja imepigwa chumbani na nyingine imepigwa sebleni maana yangu ni kuwa kunaweza kuwa na nadharia nyingi juu ya hizo pazia hivyo jambo la msingi ni kudhibitisha kuwa yule anayegegeda sio mtumishi wa Mungu kwa kuleta reference.
 
Serikali Imemuita Ukweli Utajulikana Kuhusu Mshenga 😁😂
 
Ukiwa na maadui wa aina alionao Gwajima haiwezekani ukose kashfa. Watazitengeneza hata kwa ghrama ya uhai wa binadamu mpaka wafikie lengo lao. Nitakuwa wa mwisho kuamini ujinga huu!!!!!
Acha ujinga bongo hakuna wachungaji ni uhuni tu mbona wengine ni marafiki zetu na tunawajua vizuri
 
Lakini wewe upo?
Hayupo, ndio yeye huyo Sasa!!!
 
Duh wewe nawe!! hohohohohooooooo mtumishi wa Mungu hohohohooooooo
Video ya kumchafua Askofu Gwajima inayosambaa mitandaoni imeshafahamika ni fake.
Watesi wake jipangeni upya.

Software iitwayo REALITY DEFENDER imewaumbua
Original video ilirekodiwa Alhamisi tarehe 15/11/2018 saa 2:49 usiku.
Ukweli utajulikana tu
 
Mi mwenyewe mwanzoni nilijua yeye 100% but meiangalia video vizuri nimeanza kuhisi sio yeye...ukiangalia tumboni gwajima ana kakitambi flani but kwenye iyo video jamaa hana kitambi kabisa
OK, ila ukilala flat kitambi kunapotea na hasa kikiwa kitambi mtepeto kama changu. Ila kitambi mbonyeo noma, kinaahibisha sana.

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Huwezi kumuona kwa macho hayo uanayotumia kutazamia ukiandika text.
Yeye ni roho. Hashikiki pia.
Walio wa roho humuona na hawana shaka juu ya uwepo wake.
Hayupo. Kwa hiyo kuna wengine aliwapa roho ya kumuona wengine akawanyima? Hao aliowanyima sio yeye aliewaumba au ni mwingine?
 
*Gwajima kasema hiyo video ni kabla hajaokoka*
*THIS CASE IS CLOSED, OVER*[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…