Patriot
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 5,705
- 4,703
Sasa ndo kamvua ngua na kumulaza kitandani? Stop nonsense!Hii ni kazi ya Bashite. Kumbuka alichotaka kumfanyia pale Clouds.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ndo kamvua ngua na kumulaza kitandani? Stop nonsense!Hii ni kazi ya Bashite. Kumbuka alichotaka kumfanyia pale Clouds.
Kama hii ndio aina ya wataalamu tuliokuwa nao Tz.Bado tunasafari ndefu sana. Rudi shule mkuu, Ila safari hii usikariri.Nimeangalia hiyo video na Picha zinazotumwa kwenye mitandao kumuonyesha Mtumishi wa Mungu GWAJIMA akifanya mapenzi na mwanamke akiwa chumbani nimegundua ni zakutengenezwa.. Kwanza ifahamike, Mimi sio mshirika wa Gwajima wala siandiki ili kumtetea.Mimi ni mtaalamu wa maswala ya ICT, na nimefanyakazi nyingi sana za Photoshop na Editting za picha mbalimbali
Kwanza, nimefuatilia kuhusu hiyo video, ni kweli huyo ni Gwajima Ila hiyo sauti ya mwanamke inayosikika ni sauti iliyopenyezwa haitokani na uhalisia wa tukio.
Pili, Hiyo picha inayomuonyesha Gwajima kwamba amelala juu ya mwanamke ni picha iliyotengenezwa, Ukiangalia maungo kati ya shingo na kichwa cha Gwajima kilipopachikwa utaelewa kuwa Gwajima hana shingo ndefu namna ile.Hicho kichwa kimekuwa croped kutoka katika ile video.
Tatu, Mazingira ya video inayoonyeshwa na mazingira ya picha iliyotumwa hayaendani, angalia mapazia na background zimetofautiana kabisa
Nne, Ni swala la kujiuliza maswali ya logic tu ambayo yatakupa kujua Hilo tukio Si la kweli Bali kutengenezwa. Je ni nani ambaye Gwajima angekubali ampige picha wakati anafanya mapenzi?Kama huyo mwanamke ni mchepuko wake, Je Gwajima ni kwamba hana akili mpaka akubali kupigwa picha akiwa anafanya mapenzi? Hata kama angekuwa kweli yupo na mkewe au mchepuko, isingewezekana kukubali kupigwa picha, ajipige picha ili akamuonyeshe nani?
Hizi taarifa ni za uongo kabisa zenye lengo Si tu la kumchafua na Kumshushia heshima Gwajima Bali linachafua kanisa la Mungu kwa ujumla, hata kama Gwajima humpendi au sio mchungaji wako lakini kufurahia aibu na video hizi kwa Gwajima ikiwa ni Kuutukanisha Ukristo wako pia na kumtukana Mungu.
Hivyo, Ikiwa kweli wewe ni mkristo wa kweli lazima utaukemea ushetani huu unaosambazwa na maajenti ya ibilisi kuuchafua ukristo kwa ujumla.Hivyo kushiriki kufurahia au kusambaza taarifa hizi chafu na kuanzisha mada kwenye kwa kufurahia aibu hii kwa Gwajima ujue unashiriki kazi za shetani, na wewe ni mchafu wa namna hiyo hiyo.
Jana nimeeleza haya watu wamenitukana utadhani hilo jambo ni jema sana.Nimeangalia hiyo video na Picha zinazotumwa kwenye mitandao kumuonyesha Mtumishi wa Mungu GWAJIMA akifanya mapenzi na mwanamke akiwa chumbani nimegundua ni zakutengenezwa.. Kwanza ifahamike, Mimi sio mshirika wa Gwajima wala siandiki ili kumtetea.Mimi ni mtaalamu wa maswala ya ICT, na nimefanyakazi nyingi sana za Photoshop na Editting za picha mbalimbali
Kwanza, nimefuatilia kuhusu hiyo video, ni kweli huyo ni Gwajima Ila hiyo sauti ya mwanamke inayosikika ni sauti iliyopenyezwa haitokani na uhalisia wa tukio.
Pili, Hiyo picha inayomuonyesha Gwajima kwamba amelala juu ya mwanamke ni picha iliyotengenezwa, Ukiangalia maungo kati ya shingo na kichwa cha Gwajima kilipopachikwa utaelewa kuwa Gwajima hana shingo ndefu namna ile.Hicho kichwa kimekuwa croped kutoka katika ile video.
Tatu, Mazingira ya video inayoonyeshwa na mazingira ya picha iliyotumwa hayaendani, angalia mapazia na background zimetofautiana kabisa
Nne, Ni swala la kujiuliza maswali ya logic tu ambayo yatakupa kujua Hilo tukio Si la kweli Bali kutengenezwa. Je ni nani ambaye Gwajima angekubali ampige picha wakati anafanya mapenzi?Kama huyo mwanamke ni mchepuko wake, Je Gwajima ni kwamba hana akili mpaka akubali kupigwa picha akiwa anafanya mapenzi? Hata kama angekuwa kweli yupo na mkewe au mchepuko, isingewezekana kukubali kupigwa picha, ajipige picha ili akamuonyeshe nani?
Hizi taarifa ni za uongo kabisa zenye lengo Si tu la kumchafua na Kumshushia heshima Gwajima Bali linachafua kanisa la Mungu kwa ujumla, hata kama Gwajima humpendi au sio mchungaji wako lakini kufurahia aibu na video hizi kwa Gwajima ikiwa ni Kuutukanisha Ukristo wako pia na kumtukana Mungu.
Hivyo, Ikiwa kweli wewe ni mkristo wa kweli lazima utaukemea ushetani huu unaosambazwa na maajenti ya ibilisi kuuchafua ukristo kwa ujumla.Hivyo kushiriki kufurahia au kusambaza taarifa hizi chafu na kuanzisha mada kwenye kwa kufurahia aibu hii kwa Gwajima ujue unashiriki kazi za shetani, na wewe ni mchafu wa namna hiyo hiyo.
Wanapenda kujihesabia haki.Ningeshangaa misukule wake msingetoke....
Vipi wewe ni mmoja wa wanajeshi wa Jeshi la daudi kitengo cha ICT....
Acheni upumbavu nyinyi misukule wa Gwajima... Huyo Gwajima ni Muhuni kama Walivyo Wahuni wengine
ICT feki hiyo. Ndo maana tunataabishwa na elimu zenu za kishenzi tu! ICT gani hiyo inayokufanya usione mkono wa muhusika akijirekodi mwenyewe? Halafu unaanza kujiuliza maswali kama kijana wa kindergarten. Eti Gwajina akubali kurekodi, sijui ni mchungaji, na bhla! Bhla! kibao. Acha kutuletea upuuzi wako hapa.
Kama uliamini Gwajima atakupeleka Mbinguni, sasa elewa ataanza kukulawiti.
Enyi walokole ni nani aliyewaloga?
HahaaaKama hii ndio aina ya wataalamu tuliokuwa nao Tz.Bado tunasafari ndefu sana. Rudi shule mkuu, Ila safari hii usikariri.
Hiyo n imeomba niwekewe kwenye PM zaidi ya mara tano lakini anona kimya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umemaliza kutoa utetezi wako?
Haya nenda kalale sisi tunaendelea kuburudika na video ya Gwajiboy
Mmmmmmmh Pengo ndio nani?Enyi walokole ni nani aliyewaloga?na huyo baba yenu asipomuomba msamaha Pengo ataendelea kujichapa matukio.
Unachuki binafsi acha ujinga ikiwa hakufanya photoshop inawezekana.hawa jamaa wanajionaga watakatifu sana na dhambi ni za watu ambao sio walokole ndio maana wana judge sana dini zingine na kujibhesabia haki.