Shing Yui
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 15,168
- 38,049
Mimi mwanzo kabisa walipoanza kusambaza hizo video na picha niligundua palepale kwamba ni za kutengeneza
Tukio hili sio la bahati mbaya bali ni mpango wa watu fulani ili tusihoji yale ya muhimu tubaki kumjadili Gwajima
Tunamtaka Mdude akiwa hai na tunataka maelezo ya kina kwanini uchumi wa Tanzania unayumba kwa kasi ya kutisha!