Gwajima hana pua kubwa kama ile, hana macho kama yale. Siyo Gwajima yule

Gwajima hana pua kubwa kama ile, hana macho kama yale. Siyo Gwajima yule

Hajawahi kushindwa katika vita vya kutunga tusubiri ALIAMSHE
 
Ile video ukiona ni ya mwenyewe gwajima ingawaje inashangaza kwamba video inaonekana ni HD Lakini gwajima haonekani vizuri ila mwana mke anaonekana bizuri usoni
 
Aliyezituma atafutwe simu yake ikaguliwe picha ya kumremodi mtu haiwezi kutokea hivyo, ni uzushi na roho mbaya, kupitia roho mbaya, madhara ya roho mbaya ni mbaya sana, tcra wafanye kazi yao

alikuwa anajirekodi
 
Video ya kumchafua Askofu Gwajima inayosambaa mitandaoni imeshafahamika ni fake.
Watesi wake jipangeni upya.

Software iitwayo REALITY DEFENDER imewaumbua
Original video ilirekodiwa Alhamisi tarehe 15/11/2018 saa 2:49 usiku.
Ukweli utajulikana tu
Sasa kurekodiwa hiyo tarehe kuna uhusiano gani na u fake. Kama tukio kalifanya hiyo tarehe video ikavuja mwaka huu. Mtapiga kelele lakini tukubari tu kuwa baba mchungaji kama binadamu kaanguka
 
Jaman mwenye namba ya yule bint tafadhali japo mvivu mvivu kwa litanda lakini tunamuhitaji
 
Hohohohohohoooooo
Hivi kile kipande cha 705kb na kile chenye 16MB vimerekodiwa sehemu moja kweli.Au ndiyo vile watu tukiamua kubeba jambo.Kwa macho ya kawaida mimi naona ni venue tofauti kabisa na ni kitu ambacho kinaashiria kuwa "technology innovation" ndiyo imetumika kufanya "manipulation"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Net ya mmbu kitandani picha moja inaonekana ni rangi ya purple na kama room na kitanda ni kilekile mbona anayomshughulikia net ni white na pazia tofauti
 
Kwa haraka ukiangalia ile picha inayosambazwa utadhani ni Gwajima, lakini kumbukeni watu huwa wanafanana. Gwajima hana shingo pana kama ile, pua kubwa kama ile, kidevu kipana na hata macho yake siyo makubwa kama yale... MUDA UTASEMA.

Ww unazungumzia video hipi?
 
Kwa haraka ukiangalia ile picha inayosambazwa utadhani ni Gwajima, lakini kumbukeni watu huwa wanafanana. Gwajima hana shingo pana kama ile, pua kubwa kama ile, kidevu kipana na hata macho yake siyo makubwa kama yale... MUDA UTASEMA.
mnatia huruma nyie mliofungwa minyororo na matapeli wa kiimani, kina gwajima. yani ata logical thinking na reasoning mmepokonywa.
 
Back
Top Bottom