Mtumishi wa mungu na shetani wana alama gani inayotofautishagwajima ni mtumishi wa shetani. Mtumishi wa Mungu haropoki ila anaelekeza na kuvumilia. Ila achezee akili za hao aliowaita. Asipojiangalia kanisa lake litaishia pabaya.
pamoja na yote hayo Mungu bado anamtumia, sasa utajaza mwenyewe, mana Mungu ukienda kinyume huchukui dakika utaramba sakafu mana hatakupiganiakatika viongozi wote wa dini niliowahi kuwasikia na kuwaona,hakuna mpuuzi na mtu wahovyo kamma huyu bwana ,anaacha kuhubiri neno la mungu anageukia kwenye mipasho na hao mazuzu wake utamsikia wanamshangilia,
Kwenye vyeti feki ndo unajua umbea? Yeye wakati anawataja kwa mbwembwe tena mbele ya vyombo vya habari hukuuona huo umbea?Hao waumini wake wakapimwe akili maana sio bure, mtu unakua unalipa nauli kwenda kufuata umbea na sio neno la kukujenga kiroho? sasa vyeti vya Mkuu wa mkoa ndio vitawapeleka Mbinguni? Kwa hizi akili maendeleo yatachelewa sana kuja!
kusamehe alishasamehe. kilichopo hapa sasa ni kutafuta ukweli. je mchungaji kueleza na kutafuta ukweli ni dhambi??? unamwambiaje pascal mayalla aliyehongwa hela ili kumuita gwajima muongo?? tulieni dawa iingieNajua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF.
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh Makonda na wengine ni wanakijiji.
Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni mtu mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo la kumsamehe adui yako?
Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.
Kauli za kinyonge hizo.Mungu hapendi dhaifu.angalia kina daudi,kina musa kina samson hawakuwa dhaifu na Mungu aliwachagua.haya mambo ya samehe ni ya juz juz tu.utasameaje mtu alitaka kukuua inamaa akuue unachekacheka tu.Hakuna kitu kama icho Mungu anamlipa kwa uongo wake.Najua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF.
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh Makonda na wengine ni wanakijiji.
Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni mtu mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo la kumsamehe adui yako?
Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.
Hao waumini wake wakapimwe akili maana sio bure, mtu unakua unalipa nauli kwenda kufuata umbea na sio neno la kukujenga kiroho? sasa vyeti vya Mkuu wa mkoa ndio vitawapeleka Mbinguni? Kwa hizi akili maendeleo yatachelewa sana kuja!
Masogange, tulia hivyohivyo iingie dawa.Makonda oyeee,
Hivi jina lake lipo kitabu gani cha biblia?
Sio siasa anahubiri watu wasiige mfano mbaya wa Makonda.Waumini wa gwajima nao ni mafyatu tu!!
Unapeleka siasa kanisani,unahubiri siasa kanisani kwa zaidi ya wiki mbili,kiongozi wa dini unakuwa na hasira na mambo ya ajabu ajabu!
Sasa tumechoka!
hata Yesu alivyowashambulia wale wachuuzi/wafanyabiashara kwenye nyumba ya Mungu, hawakumuelewa walimfananisha kama unavyomfananisha huyu. Ni ngumu kuelewa kwa vipofu. Yaani mtu anakuletea uchuuzi wa biashara ya madawa kanisani kwako unamuangalia tu, au wewe ulitaka ambariki, muda wa kusamehe bado kwanza sindano za moto tujifunzeHivi huyu ni mtumishi wa mungu wa aina gani jaman hivi yeye alivyomtukana Pengo aliona viongozi wa dini walivyo
kakosea sana kutangaza. misa yake inaweza kuingiliwa na dola ikakataza wazee hao kuongea kwa sababu ya kitoto ya dalili za uvunjifu wa amani. alitakiwa apige kimyakimya tu. sijui kwanini watu huwa hawajui kurusha mabomuJpili kanisa litafurika sana huyu jamaa anajua pia kucheza na mind za watu..ila Bashite aliingia choo cha kike kwa huyu Gwajima
Ivyo ivyo hadi ajue utu ni nnNajua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF.
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh Makonda na wengine ni wanakijiji.
Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni mtu mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo la kumsamehe adui yako?
Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.
Aibu tu,hakuna lingine!!!Makonda sijui anajisiiaje naimagine ningekuwa mm
Mwendo wa shoti inamtetemesha!!!!bar@she.te nilijua kakanyaga -ve wee akazoea sasa kaunganisha mbili -ve and +ve ndio anavuna sasa
Kwenye hili gwajima inatosha,samehe
Tulia hivyo hivyo wacha waletwe hata mimi jumapili nitakuwa natoka CHATO kwenda kusali darNadhani huyu mtumishi wa Mungu ni mnafiki sana. Nadhani hata huduma yake iko ukingoni.