Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

Nashangaa sana kiona mchungaji anayegeuza nyumba ya bwana kuwa sehemu ya vijembe huu si ukristu walioachiwa mitume. Mwanzo niliwaza nikadanii pia uhenda aliongea vilke kwa kuwa yeye ni binadamu na kwa udhaifu wetu twaweza kufanya hivyo bahati mbaya na tena kwa kusingizia ya kuwa ni hasira. hii ya gwajima si hasira bali ni dhamira yake tene ya dhati kufanya kisasi, sijui ni yesu gani anayemuhubili ambae aliagiza wanadamu waishi kwa chuki na visasi na si kwa upendo. kwa hali hii ya gwajima UKRISTO UMEVAMIWA
 
Nadhani huyu mtumishi wa Mungu ni mnafiki sana. Nadhani hata huduma yake iko ukingoni.
unafiki wake ni nini?
kwani kuna UBAYA gani Gwajima kuwa karibisha wazee kutoka KOROMIJE kuongea na wana familia ya UFUFUO na UZIMA?

mna hofu na nini?
acheni hofu gwajima hamiliki JESHI LOLOTE nchini.....

Gwajima awalete tu wageni kutoka KOROMIJE siku ya jumapili....

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
That is beneath a man of the cloth's dignity.

And no, my father was way too smart for the drivel that Gwajima spews.

Ain't no way he would even have entertained the thought of attending that nonsense.
 
Waumini wa gwajima nao ni mafyatu tu!!
Unapeleka siasa kanisani,unahubiri siasa kanisani kwa zaidi ya wiki mbili,kiongozi wa dini unakuwa na hasira na mambo ya ajabu ajabu!

Sasa tumechoka!
Umechoka wewe nan?

Sent from my SPH-L720 using JamiiForums mobile app
 
Gwajima hatakiwi kutumia ddhabahu kwa ishu binafsi,Mungu huyu atashuka siku moja
 
Tufunge ukurasa wa vyeti....tuangalie mambo mengine...hao wazee wakija wasiongee mambo ya shule..wahubiri neno la Mungu kusamehe 7 mara 70
 
Apeleke kesi maakamani wakitaka ushaidi ndio awapeleke hao wageni wake mahakamani wakatoe ushaidi nasiyo kanisani....HV kanisa na vyeti vinausiana nini?
 
Hata ww cku ukiviona vyeti vya Bashite hutakaa uamini wanasiasa tena....
 
Hata ww cku ukiviona vyeti vya Bashite hutakaa uamini wanasiasa tena....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…