Nashangaa sana kiona mchungaji anayegeuza nyumba ya bwana kuwa sehemu ya vijembe huu si ukristu walioachiwa mitume. Mwanzo niliwaza nikadanii pia uhenda aliongea vilke kwa kuwa yeye ni binadamu na kwa udhaifu wetu twaweza kufanya hivyo bahati mbaya na tena kwa kusingizia ya kuwa ni hasira. hii ya gwajima si hasira bali ni dhamira yake tene ya dhati kufanya kisasi, sijui ni yesu gani anayemuhubili ambae aliagiza wanadamu waishi kwa chuki na visasi na si kwa upendo. kwa hali hii ya gwajima UKRISTO UMEVAMIWA
Wow...msomi kweli kweli wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23]No not make yourself confuse... Being smart not smart is literary perceived by those who understand that word correctly...
Let me educate u in only thing that u will understand... When u are in holy place that u respect or others do... U live with your rules... Not only that, when u do an ethical thing, I mean anything.. Its u or other like u will take that as ethical but not others... I repeat "not others will be in your shoes"
If I may ask.. How did u know about that info? Where did u get that? I guess in church... Why? Because u were interested to get that info which is not intended to reach out to u... Do u know anything said by Waisilamu last ijumaa or today? Do u know what the wasabato said in church last Saturday? Do u know what Other Walokole said in church last Sunday!!?
I guess the answer u have is no.. If that is your answer then u are a smart man/ woman.. Let him say what he has to say because he is right in his own place.. Got it!!!!????
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Kama tuhuma zake hazina msingi mbona mnahangaika?Makonda anabeba mamlaka halali ya serikali hivyo tuhuma zake na maamuzi yana uzito wa kisheria...wakati Gwajima ni maneno matupu tu na tuhuma zisizo na msingi
Zilianza tangu alipompiga ngwala Warioba.Tulishasema hauwezi kuanzisha vita vya cheti katikati ya mapambano kutaka kuidhoofisha vita hii. Awe kasoma ama hakusoma. Vyeti vyake alionesha kwa mwajiri wake aliyemwajiri. Ulisikia kisheria ya kupewa cheo cha ukuu wa mkoa inahitaji sifa ya elimu gani. Ama ndiyo kitu kiitwacho kelele za vyura?
Basi tuseme hizi kelele zenu zilifaa sana kuzianzisha kabla ya "tukio" alilolianzisha yeye.
Nchi hii watu tulizoea sana maisha ya mtelezo na wizi.
Sasa tunapopanwa kufuata mambo ya msingi, tunaanza kutoa sababu za kifo cha nyani.
Hata usemeje, unufaika wa biashara ya dawa za kulevya, dalili zake ndiyo hizo.
Makonda katuanzishia vita vilivyowashinda Vingunge wengi, ni mfupa uliomshinda fisi, Mh. Makonda kauweza, anastahili hongera na Mungu atamsaidia.
Hata ww cku ukiviona vyeti vya Bashite hutakaa uamini wanasiasa tena....