Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

Alisema ana vyeti vya daud bashite vyenye zero, hakusema vya paul makonda, msomnukuu vibaya.

Naomba kuuliza, Gwajima aliachiwa?
 
Its just simple.. Kama unaamini Gwajima hana hivyo vyeti basi mwenye navyo atoke hadharani avionyeshe.. Mchezo utakuwa umekwisha na mwongo amejulikana.. Failure to do so, wenye akili tulishajua nani mkweli.

Yaani fafa yaani...hhhh...Gwajima kiboko
 
Yaani baraza LA mitihani lipoteze mda kujaza zero kwenye cheti!! So what!!! Aache uongo gwajima baraza halijawahi toa vyeti vya wenye zero hata cku hiyo 1.. Hata kama ni karune gani kasoma

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Kwani kwa Dr Msonda hayapo?
Nichukue nafasi hii kumuomba Dr Msonda kwenye matokeo wapost na majina Sio number pekee.
 
Well spoken
 
Leo MCH: GWAJIMA atapata nafasi ya kuwasimamisha madhabahuni wageni wake kutoka KOLOMIJE aka "CALL ME J" ili waweze kuweka wazi BASHITE DAUDI Ni nani?
SHIME WOTE TUHUDHURIE[emoji120] [emoji111] [emoji111]
 
Call me J[emoji87] [emoji85] [emoji216]
 
Leo lazima mabomu ya machozi yatapigwa kanisani kwa gwajima kwamaana akili ya bashite sio nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…