Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

polisi wamemwambia akiwasimamisha kesho wanabomoa kanisa lake kwani limejengwa barabarani so hakuna cha wazee toka calka me j
 
*Hawezi kuanika* mark this sentence..
 
hana ubavu hoa hata kutaja aina lake leo hataji atajifanya kama hajui kinachoendelea
 
polisi wamemwambia akiwasimamisha kesho wanabomoa kanisa lake kwani limejengwa barabarani so hakuna cha wazee toka calka me j
Hakuna na hatatokea [emoji196] [emoji216] wa kuvunja KANISA LA BWANA[emoji120]
 
Ndo maana Mimi lishaacha kwenda kanisani , kama mchungaji yuko hivo , anatundisha nini sasa ,
Bora nijisomee biblia yangu nyumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…