Unahangaika tu humu wakati mwenzio anaendelea na ukuu wake wa mkoaKama tuhuma zake hazina msingi mbona mnahangaika?
Hatuwezi kuongozwa na watu wasio na uadilifu.
Mwambieni alete vyeti hapa. Vingnevyo tutazidi kuamini kuwa yeye ni kil.aza tu.
Mamlaka my foot.
Hilo la uraia wa mkewe kalichomekea ili kuzuga au kupotezea hili la cheti.ukweli
Daudi bashite aweke vyeti hadharani hapo no excuse.
ila kudai pia mkewe si raia hapo sasa tumevuka mpka.
sijawahi ona kiongozi mkubwa akilia ila ukiguswa ur family real is touching.
binafsi naona vyeti vya bashite viishie kwa bashite, tusimwingize pia mkewe.
ukweli

Nadhani amelia baada ya kupandwa na mzuka wa neno la Mungu. Alikuwa anakaribia kunena kwa lughaukweli
Daudi bashite aweke vyeti hadharani hapo no excuse.
ila kudai pia mkewe si raia hapo sasa tumevuka mpka.
sijawahi ona kiongozi mkubwa akilia ila ukiguswa ur family real is touching.
binafsi naona vyeti vya bashite viishie kwa bashite, tusimwingize pia mkewe.
Uko sahihi mkuu. We na mimi tunahangaika tu hapa wakati wenzetu wanaendelea kula maisha.Unahangaika tu humu wakati mwenzio anaendelea na ukuu wake wa mkoa
Kweli I seeukweli
Daudi bashite aweke vyeti hadharani hapo no excuse.
ila kudai pia mkewe si raia hapo sasa tumevuka mpka.
sijawahi ona kiongozi mkubwa akilia ila ukiguswa ur family real is touching.
binafsi naona vyeti vya bashite viishie kwa bashite, tusimwingize pia mkewe.
Ni Results slip ya Daudi Zero hiyo ambayo kwa waswahili wanaiita "cheti" pia. Ni karatasi yenye matokeo ya kidato cha 4 ya D. Bashite.Vyeti vya kidato cha nne Div 0 vinatolewa na taasisi gani?
Nyani Ngabu vipi?Kama ni kweli, mbona huyo mchungaji yupo dramatic namna hiyo?
Kiongozi wa dini ana behave kama wadada wanaotukanana kwenye Instgram?
Na watu mnashangilia tu huo ushenzi shenzi.
A man of the cloth sinking all the way down to the gutter.
Lawwd hammercy!!
Kwani wewe ID yako si fake?Ujana utakuponza na unaweza kuyaandika hayo tu nyuma ya kryboard na ID fake. Nakushauru ujimuvuzishe mapema kwake mchungaji utolewe mapepo.
Acha uongo wewe, unasema leaders are not made? Are you sure? Do you know what does made mean? Philosophy haisomwi nusunusu mkuu!Najaribu kkuelewa mkuu japo swala la Zero ya Bw.Daudi haihusiani hapa! Maana tunao wabunge wengi tu wa darasa la saba vinginevyo Gwajima asimame kutueleza waumini wake yakuwa ile zero ya form 4 inamfanya Bw. Daudi kutokuwa na akili timamu hivyo kashfa juu yake imetolewa na mwenda wazimu! Wote tunafaham a leader is born not made ! Si mnaona Hata Lipumba uozo anao fanya na shule yake nzur tu.
Ni Results slip ya Daudi Zero hiyo ambayo kwa waswahili wanaiita "cheti" pia. Ni karatasi yenye matokeo ya kidato cha 4 ya D. Bashite.
Daudi hachomoi hii. Kwa mwenye kutaka kujiridhisha, enenda Baraza la mitihani la Taifa, watakupatia hiyo karatasi ya matokeo. Kule kumbukumbu zipo.