Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

Bado mnalo kumbwe!!! Ile amri inayowataka kusamehe X 70 kwa siku mmeisahau nini? au ndo ya Kaisali hayo?
HAPA NADHAN KAISALI ANAPEWA YALIYO YAKE. Ingekuwa hivyo kusingekuwa na ukristo, wangechinja wote
 
to mention him in a list of drug dealer and he is not among, is it fair?
tena kwa Mtumishi wa Mungu

Fair or not, that doesn't justify him to act the way he is acting if at all that which is being reported is true.

He can't stay above the fray?
 
His behavior has been very unseemly.

A man of the cloth comporting himself like a drama queen.

Shame shame shame.
Mkuu if my memory saves me right ulitaka ushahidi wa hili, iweje umefura baada ya kusikia Gwajima anakuja na evidence ambazo bado ni tetesi.. I am confused sijaelewa Gwajima kama kweli ataleta ushahidi atakuwa kakosea nini nieleweshe kidogo na mimi slow learner kama Bashite
 
Makonda oyeee,

Hivi jina lake lipo kitabu gani cha biblia?
 
Asante nami nimeliona hili naamini Pastor GWAJIMA atazingatia hii......nikweli kijana amekosea Mkubwa aonyeshe Mfano wa Kusamehe.....
Kisasi sijuu yetu....
 
Roho wa bwana kamshukia Acha aporomoshe material,hata kwenye biblia mitume na manabii hawakuwahi kupindisha ama kutetea uovu,wacha gwajima aaaeleze ukweli kwani sasa hamna namna
 
Tulieni mnyooshwe,gwajima anasimamia haki,suala la vyeti ni haki hata mbele za Mungu
 
Tulia wewe kula kulala.....!alichokifanya Bashite unafkr ni kidogo.......?hivi Leo hii akiambiwa amsafishe Gwajima ataweza....?kwanza huyu bwana mdg Bashite wkt anatangaza Yale majina feki ya wauza unga alikuwa anaongea kwa dharau sana akifikiri Yale majina ni madogo kama alivyofikiri.....?sasa cha moto atakiona......!huku Mbowe mahakamani huku Gwajima na vyeti feki na sasa anamleta Mzee anayemjua Bashite vzuri nina uhakika j2 waandishi wa habari watasali ktk kanisa la ufufuo na uzima ili wapate hbr na huku familia ya Wema wakisambaza sauti ya kwamba alishawahi kutaka papuchi kwa madame lkn hakukidhi vigezo....!hii cinema tamu sana......!
 
Kipindi kile Gwajima aliposhtakiwa kwa kumwambia mwenzake amekula sijui maharage ya wapi, je ulishauri Kiongozi mwenzake ajiondoe kwenye kesi aloshtakiwa? Pilipili usozila zakuashia nn?
 

Huyo baba askofu wako anavyo behave sasa hivi naanza kupatwa na imani kuwa huenda kweli anatumia hayo mavitu.

Askofu gani ana behave kama wale wadada watukananao huko Instagram?

Shameful.
 
Uana harakati wa kiroho, kony wa Uganda ya Kaguta alianza kama mwanaharakati wa kiroho wa kabila la Acholi. Akaipinga serikali kwa kutumia Biblia na maneno ya kiana harakati. Serikali ikamlegezea wakifikiri ni kumpuuza.

Baadaye uana harakati wa kiroho wa kony ukakomaa kwa kutumia Biblia na silaha kwa kuendeleza vita sokwe. Uganda na nchi jirani sudan na congo zote mbili wameteswa sana na LRA ya kony. Marekani ndio kawasaidia kupunguza madhila ya Kony na waumini wake. Ingwa bado yako. Sasa furahieni tu hapa kuletwa wazee wa kijijini wastaafu wengine wakiwa walimu.

Na washawasha!
 
Hao waumini wake wakapimwe akili maana sio bure, mtu unakua unalipa nauli kwenda kufuata umbea na sio neno la kukujenga kiroho? sasa vyeti vya Mkuu wa mkoa ndio vitawapeleka Mbinguni? Kwa hizi akili maendeleo yatachelewa sana kuja!
Maendeleo ni swala la mtu mmoja mmoja mkuu.

Gwajima ameshapata maendeleo zaidi ya ujuavyo na ndo maana ameweza kuwa na PRIVATE JET .

Wangapi kwenye familia yako wanaopenda maendeleo wameweza kumiliki usafiri wa Anga????

Makonda alipaswa kuwa na taarifa sahihi na zilizothibitishwa kabla ya kutaja watu kwenye media.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…