Kuna jamaa huku alishaweka kisa cha Raisi mmoja nimesahu nchi gani alienda Urusi warusi wakawatumia madada kumrubuni jamaa alawafu warusi kuna kitu walikua wanahitaj kwa yule raisi wakatishia kutoa mkanda wa ngono aliofanya na wale madada wa kirusi.Jamaa alivo noma akawambia tena ikiwezekana watengeneze kopi nyingi ili akirudi nchin kwake akawagawie kila mwanachi watafurahi. warusi walichoka😀mbona kawaida tu!! Kuna jipya gani alilofanya au yeye sio binadamu!! Mbona watu mnapenda kuona mapungufu ya wenzenu wakati nyinyi yamewajaa!!
hatugombei ubunge.... tutapogombea ni lazima tuchokonolewe tu hakuna namna!mbona kawaida tu!! Kuna jipya gani alilofanya au yeye sio binadamu!! Mbona watu mnapenda kuona mapungufu ya wenzenu wakati nyinyi yamewajaa!!
Kabeba waumini wake wote
Swissme
Hakika nitafurahi sana Bi kidude akipigwa chiniGwajiboy ndiyo mwenye hilo jimbo
Chief tuwekee basi kavideo tusikie na manenoView attachment 1568825 ahahha gwajima akili kubwa kiboko ya yule Bibi anayeishi kihuni
Hapa tunazungumzia wabunge wa kawe, je ni sahihi kumpambanisha mtu level ya jimbo na anayegombea urais?, Weka video ya mdee kaweTazama mafuriko ya huko Iringa, halafu toa comments kwenye huo utangulizi wake.
Nimekuambia isikilize pale mwanzo tu. Inasema rais, rais wetu wa mwaka elfu kumi na.... Yaani ni ya 2015. Jamaa kai edit ionekane ni ya Iringa jana. Lakini hakufanya proof reading. Kaumbuka. Yaani wanatufanyia usanii tupu halafu wanataka tuwaamini tuwakabidhi nchiHapa tunazungumzia wabunge wa kawe, je ni sahihi kumpambanisha mtu level ya jimbo na anayegombea urais?, Weka video ya mdee kawe
View attachment 1569175
Labda kura uhesabu weweNi mwendo wa Tanzania ya kijana Rais -ccm, wabunge- ccm, madiwani - ccm.
Kama una usingizi bora ukalala upumzishe ubongo. Hatuzungumzii kula tunazungumzia kura comradeLabda kula uhesabu wewe
View attachment 1568765View attachment 1568766View attachment 1568768View attachment 1568770View attachment 1568771
Hawa watu hata mgombea wa Urais wa Chadema alipofika Kawe hakupata watu wengi kama hawa.
Wakuu Kawe imepata mtu sahihi, leo bunju A imesimama. Hizi picha za asubuhi wakati mkutano haujaanza Bunju A imetapika.
Kwa wale upande wa pili wanaopenda kuedit picha, CCM hatuna kuedit. Pita shule ya msingi Bunju A ujione balaa watu wametapika
Mama lishe wanamlilia Gwajima
Bodaboda wanamtaka Gwajima
Madereva wanamtaka Gwajima,
Wastaafu wanamtaka Gwajima,
Wavuvi wanamtaka Gwajima
Wafanyabiashara wanamtaka Gwajima
WanaCCM tumeamua kuungana pamoja na kuondoa maslahi Binafsi ili kuhakikisha Gwajima anashinda kwa kishindo
Yule mama mwenye lugha ya matusi watu hata hawataki kumsikia.
Usiwe mwongo, ni watu wa bunju na vitongoji vyake. Wameanza kumiminika saa 2 asubuhi
Chadema kwa kuropoka tumewazoea. Leta ushahidi wa Gwajima akiwapa kila boda 15000.Sasa bodaboda wanamtaka awasaidie nini.
Huyu kawapa kila boda 15000 toka kawe hadi bunju na kusomba watu kwa magari unadhani watu wa jimbo la kawe ni mapoyoyo, subiri siku ya kura
Kwa sensa ipi uliyofanya ukabiani wakazi wa bunju ni wachache sana. Naona hamtaki kuamni mlichokiona na bado comrade jiandaeni kisaikolojiaWewe uko tabora umejuaje ni watu wa bunju, afterall bunju wakaz wake ni wachache sana
Unaumwa si bureWewe uko tabora umejuaje ni watu wa bunju, afterall bunju wakaz wake ni wachache sana
ni umri tu wakikua wataacha, hawana uwezo wa kupanga hoja zikaeleweka.Yule bibi matusi akatukane kwenye familia yake
wanataka kwenda Birmingham haoMimi nipo hapa ndio watu alionanaoView attachment 1568790