zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
- Thread starter
-
- #61
Hana nguvu? JPM Yuko wapi Sasa na Masalia wake wote wameondolewa?Huyo unayemsemea chama kimerudi mikononi mwake, Hana nguvu uliyofikiri anayo.
Vita ilishaisha baada ya yule shetani kufarikiVita imepiganwa ktk spiritual realm na muungu wa hao amenyanganywa mamlaka.
Huo ndio ukweli 2025 ni Samia Vs Chadema maana 2010 na 2020 mlifanya hivyo hivyo Sasa hapo Cha ajabu ni kipi maana narudia kitu ambacho wote mnafahamu.Yaani mwana CDM anadiliki kusema CCM wataprint fomu moja tu kama kwamba ameambiwa Gwajima ametangaza Nia😃😃😃
Tuheshimu tu mawazo ya Kila mtu hata kama yamekaa kinyumbu.
Wakabadili wamuweke nani msafi kule? Wamejaa mafisadi tu. CCM ikiamua kushinda hata isipoweka mgombea itashinda maana tume ni ya kwao so msijifanye kwamba eti huwa mnashinda sababu ya wagombea makini.Anajua ikitokea CCM wakabadili mgombea CDM haitoboi,
wanaAMINI sa100 ni dhaifu watamtoa kirahisi,
Wanasahau kuwa CCMM Si chama Cha siasa ni DINI tu kama dini zingine😃😃
Una maslah Gani na mtawala wa sasa kupitia CCM wakati wewe ni CDM, upinzani wenu uliisha lini?Wakabadili wamuweke nani msafi kule? Wamejaa mafisadi tu. CCM ikiamua kushinda hata isipoweka mgombea itashinda maana tume ni ya kwao so msijifanye kwamba eti huwa mnashinda sababu ya wagombea makini.
Bottom line ni katiba mpya na tume huru then chagueni mgombea mnayemuona the best muone kama mtaambulia hata kura 30%. Kama unabisha kaangalie takwimu za 2015, mlisema JPM msafi ila kama sio kuokolewa na Lubuva hata 25% asingefika.
Mfumo wa CCCM umevamiwa na kuwa corrupt.Wakabadili wamuweke nani msafi kule? Wamejaa mafisadi tu. CCM ikiamua kushinda hata isipoweka mgombea itashinda maana tume ni ya kwao so msijifanye kwamba eti huwa mnashinda sababu ya wagombea makini.
Bottom line ni katiba mpya na tume huru then chagueni mgombea mnayemuona the best muone kama mtaambulia hata kura 30%. Kama unabisha kaangalie takwimu za 2015, mlisema JPM msafi ila kama sio kuokolewa na Lubuva hata 25% asingefika.
We zito wewe!!Wakuu habari za jumapili, Kuna Hilo suala la mikutano ya Askofu Gwajima nchi nzima kuwa na agenda ya kisiasa kupitia mlango wa dini.
Nakumbuka Chadema wakiwa nyanda za juu kusini jamaa alikua huko huko Mbeya na Songwe akifanya mikutano ya injili Ili ku counter upepo wa Chadema muda ule. Na sio tu huko amelekea Kanda ya ziwa almost yote, Kanda ya kati, nyanda za juu kusini na Sasa yupo Kusini. Mikutano hii inafanyika ikiwa na mrengo wa kujibrand kama mwanasiasa wa kitaifa na alternative ya 2025 hasa kwenye Urais.
Nasema hivi sababu kwa mara ya kwanza Gwajima amezunguka almost 60% ya wilaya ya nchi hii na kote huko anafanya mikutano ya injili huku akimpigia kampeni Samia na CCM!! ila mwenye akili timamu anajua ni kujibrand Ili siku akitangaza Nia basi awe na capital ya wapiga kura wengi.
Labda nimshauri tu Gwajima kama anataka kumchallenge Samia aanzishe chama au ahamie hata CHAUMMA ila huko CCM fomu itaprintiwa Moja tu kama 2010 na 2020 so asipoteze muda na hayo maigizo ni either ahubiri injili ya kweli au ajitokeze wazi afanye mikutano ya kisiasa Kila Jimbo ila kujificha nyuma ya kivuli Cha injili haitomsaidia kitu.
Jumapili njema.
MkuuUna maslah Gani na mtawala wa sasa kupitia CCM wakati wewe ni CDM, upinzani wenu uliisha lini?
Mbona unamkingia kifua kuliko hata Lucas Mwashambwa?
Mungu ameadhimia kutunyoosha watz Kwa viburi vyetu ktk Awamu yake.Mkuu
Hivi malkia wa sheba yu bukheri wa afya!!?
Udadis uliongezeka kwa jukwaa sana last week!
Hili nalo ni neno jipya.Anajua ikitokea CCM wakabadili mgombea CDM haitoboi,
wanaAMINI sa100 ni dhaifu watamtoa kirahisi,
Wanasahau kuwa CCMM Si chama Cha siasa ni DINI tu kama dini zingine😃😃
Ndo UKWELI wenyewe,Hili nalo ni neno jipya.
CHADEMA wawe na matumaini makubwa kwa Samia katika ushindi wao kuliko kiongozi mwingine kutoka CCM?
Ili kueleweka zaidi, hebu tmweke mtu huko CCM; kwa mfano Makamba, au Madilu. CHADEMA wataona ni nafuu kupambana na Samia kuliko kupambana na hao wawili?
Mkuu 'Rabbon', hapa sina jibu!
lisasi # risasiUsimpangie cha kufanya, kama alijua lisu atapigwa lisasi kesho yake na akamtaarifu, basi anajua anachokifanya huyu mjumbe wa kamati kuu.
Mkuu 'zitto junior', kama upo mjini, hasa hii miji mikubwa hapa nchini, bila shaka utakuwa umeona mabango mengi sana yameenezwa kila sehemu za miji.Btw wapi nimesema Gwajima katangaza Nia? Au mnasubiri mpaka atamke maneno directly.... Kufanya mikutano ya kisiasa kwa mgongo wa dini kwenye 60% ya wilaya za nchi hii unaona ni kawaida tu? Kweli great thinkers wameisha JF
Unazidi kunichanganya sasa!Ndo UKWELI wenyewe,
Tangu Nchi kupata uhuru, uliwahi kuona CDM wamesimamisha mgombea urais kabla CCM hawajamtangaza mgombea wao?
Pia nikwambie katu, CCM haiwezi kuja na mgombea kati ya madilu au KAMBA.
Tusubiri,Unazidi kunichanganya sasa!
Ni nani huko CCM kwa sasa hivi zaidi ya Samia?
Wapi nimemkingia kifua? Nimekueleza wazi kuwa huko CCM dhaifu sio Samia pekee Bali hata Mwigulu, January, Nape au yeyote mtakayesimamisha Bado tu ataangushwa na mgombea wa upinzani maana mmechokwa.Una maslah Gani na mtawala wa sasa kupitia CCM wakati wewe ni CDM, upinzani wenu uliisha lini?
Mbona unamkingia kifua kuliko hata Lucas Mwashambwa?
Sasa akiwa muadilifu ila kazungukwa na mafisadi hao mawaziri na wakuu wa idara atawatoa wapi? Si ataishia kujaza wezi tu serikalini!! Ufisadi wa CCM ni wa kimfumo so usitegemee mtu mmoja anaweza maliza ufisadi. JPM alitamani hivyo ila alifeli kabisa.Bt ni makosa makubwa kuamini kuwa ndani ya CCM wote kwamba hawapo waadilifu!!!!