Gwajima na mikutano ya kimkakati kuelekea 2025: Je, itazaa matunda?

Gwajima na mikutano ya kimkakati kuelekea 2025: Je, itazaa matunda?

Yaani mwana CDM anadiliki kusema CCM wataprint fomu moja tu kama kwamba ameambiwa Gwajima ametangaza Nia😃😃😃

Tuheshimu tu mawazo ya Kila mtu hata kama yamekaa kinyumbu.
Huo ndio ukweli 2025 ni Samia Vs Chadema maana 2010 na 2020 mlifanya hivyo hivyo Sasa hapo Cha ajabu ni kipi maana narudia kitu ambacho wote mnafahamu.

Btw wapi nimesema Gwajima katangaza Nia? Au mnasubiri mpaka atamke maneno directly.... Kufanya mikutano ya kisiasa kwa mgongo wa dini kwenye 60% ya wilaya za nchi hii unaona ni kawaida tu? Kweli great thinkers wameisha JF
 
Anajua ikitokea CCM wakabadili mgombea CDM haitoboi,

wanaAMINI sa100 ni dhaifu watamtoa kirahisi,

Wanasahau kuwa CCMM Si chama Cha siasa ni DINI tu kama dini zingine😃😃
Wakabadili wamuweke nani msafi kule? Wamejaa mafisadi tu. CCM ikiamua kushinda hata isipoweka mgombea itashinda maana tume ni ya kwao so msijifanye kwamba eti huwa mnashinda sababu ya wagombea makini.

Bottom line ni katiba mpya na tume huru then chagueni mgombea mnayemuona the best muone kama mtaambulia hata kura 30%. Kama unabisha kaangalie takwimu za 2015, mlisema JPM msafi ila kama sio kuokolewa na Lubuva hata 25% asingefika.
 
Una maslah Gani na mtawala wa sasa kupitia CCM wakati wewe ni CDM, upinzani wenu uliisha lini?

Mbona unamkingia kifua kuliko hata Lucas Mwashambwa?
 
Mfumo wa CCCM umevamiwa na kuwa corrupt.

Bt ni makosa makubwa kuamini kuwa ndani ya CCM wote kwamba hawapo waadilifu!!!!

Ni makosa makubwa kuamini CDM ambayo inaonekana Ina mfumo mzuri Kwa sasa kabla haijashika Dola itaendelea kuwa ilivyo hata baada ya kushika Dola,

Pia ni kujisahau kulikopitiliza au ni kujitoa ufahamu kuamini kuwa ndani ya CDM hakuna wenye tamaa na Roho ya UFISADI.

Watanzania ni wale wale, vyama ni miamvuli ya kujifichia.

Tunapotafuta viongozi wazuri, tusiwatazame Kwa vyama vyao pekee, tuongeze Umakini ktk jinsi tunavyochanganua masuala ya mtambuka ktk uongozi wa Nchi yetu Kwa vizazi vijavyo.
 
Wakuu habari za jumapili, Kuna Hilo suala la mikutano ya Askofu Gwajima nchi nzima kuwa na agenda ya kisiasa kupitia mlango wa dini.

Nakumbuka Chadema wakiwa nyanda za juu kusini jamaa alikua huko huko Mbeya na Songwe akifanya mikutano ya injili Ili ku counter upepo wa Chadema muda ule. Na sio tu huko amelekea Kanda ya ziwa almost yote, Kanda ya kati, nyanda za juu kusini na Sasa yupo Kusini. Mikutano hii inafanyika ikiwa na mrengo wa kujibrand kama mwanasiasa wa kitaifa na alternative ya 2025 hasa kwenye Urais.

Nasema hivi sababu kwa mara ya kwanza Gwajima amezunguka almost 60% ya wilaya ya nchi hii na kote huko anafanya mikutano ya injili huku akimpigia kampeni Samia na CCM!! ila mwenye akili timamu anajua ni kujibrand Ili siku akitangaza Nia basi awe na capital ya wapiga kura wengi.

Labda nimshauri tu Gwajima kama anataka kumchallenge Samia aanzishe chama au ahamie hata CHAUMMA ila huko CCM fomu itaprintiwa Moja tu kama 2010 na 2020 so asipoteze muda na hayo maigizo ni either ahubiri injili ya kweli au ajitokeze wazi afanye mikutano ya kisiasa Kila Jimbo ila kujificha nyuma ya kivuli Cha injili haitomsaidia kitu.

Jumapili njema.
We zito wewe!!

Ina maana hujajifunza tu kwa jiwe!!?kwamba kuwa namba moja hakutoshi wewe kung'ang'ania madaraka!!?

Kwamba ukilazimisha kushika dola kinyume na matakwa ya dola utaanza kuchechemea mguu mithili umechomwa mwiba!!?

Nakuambia,kama huna baraka za dola a k.a deep state hata kama ukigombea na kivuli hutoboi!!

Yaani kama ni matakwa ya dola kwamba yeye aongoze 2025-2030 itakua LAKINI kama hapana Am visioning mkono wa bouncer for Good!!

Dola ndugu dola na sio kama unavodhani mkuu!!

Coded a bit for a matured to swallow!!
 
Una maslah Gani na mtawala wa sasa kupitia CCM wakati wewe ni CDM, upinzani wenu uliisha lini?

Mbona unamkingia kifua kuliko hata Lucas Mwashambwa?
Mkuu

Hivi malkia wa sheba yu bukheri wa afya!!?

Udadis uliongezeka kwa jukwaa sana last week!
 
Mkuu

Hivi malkia wa sheba yu bukheri wa afya!!?

Udadis uliongezeka kwa jukwaa sana last week!
Mungu ameadhimia kutunyoosha watz Kwa viburi vyetu ktk Awamu yake.

Tumeletewa makusudi Ili tupigwe, kuanzia sasa Hadi 2025 KAZI tunayo,

Maana mapepo yameshajiandaa kushambulia yanazuiwa na waombaji.

Tuendekelee, na Maombi Mungu atunusuru sisi na uzao wetu.
 
Anajua ikitokea CCM wakabadili mgombea CDM haitoboi,

wanaAMINI sa100 ni dhaifu watamtoa kirahisi,

Wanasahau kuwa CCMM Si chama Cha siasa ni DINI tu kama dini zingine😃😃
Hili nalo ni neno jipya.
CHADEMA wawe na matumaini makubwa kwa Samia katika ushindi wao kuliko kiongozi mwingine kutoka CCM?

Ili kueleweka zaidi, hebu tmweke mtu huko CCM; kwa mfano Makamba, au Madilu. CHADEMA wataona ni nafuu kupambana na Samia kuliko kupambana na hao wawili?

Mkuu 'Rabbon', hapa sina jibu!
 
Ndo UKWELI wenyewe,

Tangu Nchi kupata uhuru, uliwahi kuona CDM wamesimamisha mgombea urais kabla CCM hawajamtangaza mgombea wao?

Pia nikwambie katu, CCM haiwezi kuja na mgombea kati ya madilu au KAMBA.
 
Btw wapi nimesema Gwajima katangaza Nia? Au mnasubiri mpaka atamke maneno directly.... Kufanya mikutano ya kisiasa kwa mgongo wa dini kwenye 60% ya wilaya za nchi hii unaona ni kawaida tu? Kweli great thinkers wameisha JF
Mkuu 'zitto junior', kama upo mjini, hasa hii miji mikubwa hapa nchini, bila shaka utakuwa umeona mabango mengi sana yameenezwa kila sehemu za miji.

Maana yangu ya kukumbusha hili, ni hayo maneno niliyo'quote' hapo juu, bila shaka utaona mwenyewe jinsi yanavyohusiana na haya ya mabango niliyoweka mimi sasa hivi.
Naelewa hukuyaelekeza hayo maneno yako kwangu, lakini bila shaka ukitafakari vyema haya niliyoweka hapa utanielewa vizuri.
 
Ndo UKWELI wenyewe,

Tangu Nchi kupata uhuru, uliwahi kuona CDM wamesimamisha mgombea urais kabla CCM hawajamtangaza mgombea wao?

Pia nikwambie katu, CCM haiwezi kuja na mgombea kati ya madilu au KAMBA.
Unazidi kunichanganya sasa!

Ni nani huko CCM kwa sasa hivi zaidi ya Samia?
 
Una maslah Gani na mtawala wa sasa kupitia CCM wakati wewe ni CDM, upinzani wenu uliisha lini?

Mbona unamkingia kifua kuliko hata Lucas Mwashambwa?
Wapi nimemkingia kifua? Nimekueleza wazi kuwa huko CCM dhaifu sio Samia pekee Bali hata Mwigulu, January, Nape au yeyote mtakayesimamisha Bado tu ataangushwa na mgombea wa upinzani maana mmechokwa.
 
Bt ni makosa makubwa kuamini kuwa ndani ya CCM wote kwamba hawapo waadilifu!!!!
Sasa akiwa muadilifu ila kazungukwa na mafisadi hao mawaziri na wakuu wa idara atawatoa wapi? Si ataishia kujaza wezi tu serikalini!! Ufisadi wa CCM ni wa kimfumo so usitegemee mtu mmoja anaweza maliza ufisadi. JPM alitamani hivyo ila alifeli kabisa.
 
Back
Top Bottom