Gwajima: Siwezi kujitetea kwa mahubiri yanayotoka kwa Roho Mtakatifu

Mfano mzuri Shadraki,Meshaki na Abednego waligoma kutii maagizo ya 'kishetani' na Mungu akawa upande wao mwanzo mwisho.Mifano ipo mingi sana."Mamlaka halali".What a point!!!

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Kuna marehemu alipelekwa hapo kwake kwa siku nne Gwajima ana mfanya vitu vyake tapeli huyu.
Hadi marehemu kaanza kunuka.

Lini mtashituka ninyi kizazi kilicholaaniwa!
Aliahidi kumfufua Amina Chifupa, bado tunasubiri.
 
Ina maana itawalazimu wamuite 'roho mtakatifu' kutoa ushahidi?
 
Hilo andiko unalipotosha, haya mamlaka ni ya kaizari na kamwe hayajawahi kutoka kwa Mungu.

Mamlaka ya Mungu ni ya Mungu na ya Kaizari ni ya Kaizari
 
Kwaiyo hata akiongea Jambo ambalo Ni hatari kwa usalama wa Taifa asihojiwe kisa tu kazungumza kanisani wakati alipokuwa kapandwa na jini roho mtakatifu
 
Ina maana itawalazimu wamuite 'roho mtakatifu' kutoa ushahidi?
Gwajima Ni hatari kwa usalama wa Taifa, inatakiwa adhibitiwe haraka, akawekwe ukonga hata kwa miaka mitano, hili kuepusha hatari anayotaka kuileta
 
Mamlaka ndio iliyosema chanjo ni hiari mtu atake kuchanjwa ama la. Kwa ujinga wako unadhani anae kataa anapingana na mamlaka kitu ambacho sio sahii.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Gwajima alidai watu wamehongwa kupitisha chanjo.

Alidai watu watakua mazombie wakichanja

Akatishia madaktari wanaotoa chanjo watakufa

Sasa kama haya yote aliropoka ndio kutii mamlaka kwa kuongea habari za uongo? (Maana kamati iliomba ushahidi akakosa)

Maadam yye ni CCM na Mwenyekiti kasema watu wachanjwe then ina maana kma hakubali basi ajiuzulu ubunge na sio kuanza kutisha watu na kupotosha vitu vya sayansi asivyo na utaalamu navyo.

Alisema jumanne angeongea na watengeneza chanjo iliishia wapi? Alidai covid 19 inasababishwa na 5G mara Covid 19 mwisho kenya haitovuka TZ..... Alafu leo hii mnamuamini huyu askofu??

Gwajima is a fraud... Period!! Natamani siku augue kweli hiyo Covid 19 ndio mtaona kma hajaenda kuwekewa mitungi ya gesi!!
 
Nimependa conclusion yako. Nilitamani sana hili kwa Magu. ikajipa
 
Nimependa conclusion yako. Nilitamani sana hili kwa Magu. ikajipa
Ivi Magu alikufa kwa COVID-19? na nyomi lile lilivyomuaga tena kwa kupishana na jeneza Lake 0 distance bila ata Baraka ama sanitizer? Na hatukusikia wala kuona waagaji wakidondoka kwa Corona kwenye kuaga?
Usilazimishe ujinga wako hapa, tunaelewa sana mchezo uliofanyika, sisi sio wajinga hata kama hakukubalika kwa kila raia lkn kwa misimamo yake juu ya corona alikuwa man of the world
 
Yanatoka kwa roho mtakatifu au roho mtakakitu?
 
CCM hamna kitu , bila polisi hawa ni watupu mno !
MaCCM wameparaganyika sana kipindi hiki kuliko wakati wowote ule. Hawataki mwanamke awaongoze, tena muslimu na mzanzibar, wanamwangalia Samia wanasema hiiii!!!!
Sukuma GANG/ MATAGA yameapa.
 
Well,that is what referred as prophetic intelligence.
According to our constitution, each person has freedom to give opinion I,and this proves on variation in thoughts, the thought/opinion of majority is regarded as the best opinion and it must be followed ,but those with different views as those of many must be listened.

Sometimes I remember the comment the late president of Kenya and the father of that nation once said that "you have a freedom of expression but I can not assure your freedom after speech" .

Sir.maganga.
 
mkuu akili zako ni timamu kweli? yaani waagaji waugue Corono hapo hapo na wadondoke? Una takwimu za watu wanaokufa kwa Corona? Uliposikia hali ni mbaya unajuaje kama ndio wale. Watu wangapi wa karibu na Jiwe wamekwenda na maji? Ficha upuuzi
 
Anavuta bangi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…