Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Angesema angepotezwa mazimaunafiki mtupu !! eti askofu.
hayo kayajua leo, mbona hakuyasema wakati babake akiwa hai.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angesema angepotezwa mazimaunafiki mtupu !! eti askofu.
hayo kayajua leo, mbona hakuyasema wakati babake akiwa hai.
Hayo uliyoyaandika tu yanaonyesha uko frustrated,Muda wa kunipa lecture hauna lakini wa kuitetea CCM unao,kusifia Royal Tour upo na kupinga Katiba Mpya mnao.
Uchumi ukoje kama hatuwezi kuwekeza katika raslimali zinazoweza kuuinua uchumi wetu.Chuma tunacho ila tunajenga reli kwa kuagiza chuma?Uchumi gani unaoufahamu wewe hadi unipe lecture!
unafiki mtupu !! eti askofu.
hayo kayajua leo, mbona hakuyasema wakati babake akiwa hai.
Na kuna ile safari ya BIRMINGHAMHivi ile treni lake lishawasili
Ova
kwanza Askofu gani anashiriki kubariki dhambi - ndiyoooo KAIBA KURA KAWE LIVE LIVE kwani tumesahau.Akili zake hazikwepo. Sasa zimerudi
Usingeleta habari za yai na kuku kwenye chuma na umeme wakati ukweli ni kuwa chuma(steel) kilianza kuzalishwa na kikatengeneza reli na matreni na madaraja kabla ya umeme.Hakuna investment isiyokuwa na monetary value in economics ata public goods kama taa za barabarani unaweza pima faida zake kwa idadi ya uporaji uliopungua, gharama za matibabu kwa wahanga wa vibaka, thamani ya vitu vilivyookolewa, gharama zilizokolewa kufanya upelelezi na polisi, gharama kesi za kuendesha kesi mahakamani and so forth; uka justify jamii inaokoa kiasi kadhaa cha fedha kwa sababu taa zimepunguza uporaji wa usiku.
Na unapotaka kukiweka chuma kwenye merit good or anyother investment faida zake unapima on cascading effects za baadae kuna monetary value pia.
Sasa kuna faida gani ya kutumia $1-4 billion kujenga kiwanda cha chuma (hapo atujazungumzia gharama za mineral extraction investment ambazo na zenyewe zipo in billion of dollars).
Halafu baada ya kuwekeza utumie na zaidi ya $600 million dollars kwa mwaka kama ruzuku ili tu useme unakiwanda cha chuma.
Wakati unaweza agiza chuma kwa gharama za $400 million tena hiyo ni kwa sababu ya miradi mikubwa miwili ikiisha uagizaji kwa ukuaji wa uchumi leo hiko kiwango kinashuka bila ya shaka.
Ni hivi kuna vitu vina minimum investment costs watu wakisema kiwanda cha kati wanapiga hesabu zote machine, gharama za kiwanda and other necessary components awajisemei tu steel mill ina cost kati ya dollar billion 1 mpaka 4 kutoka vichwani mwao.
Na wanaposema running costs wanazingatia productions costs zote wanakuja na average; hiyo research imeangalia viwanda 350 vya chuma duniani wamekuja na wastani wa dollar billion moja kukiendesha kiwanda cha kati kwa mwaka.
Sasa watanzania kama ilivyo hulka yetu badala ya ku deal na facts tunaanza kutengeneza hadithi vichwani mwetu na kuondoka kwenye uhalisia na kuanzisha mijadala ya kujifurahisha tu kama huu.
Unataka kuzungumzia uzalishaji chuma zama za kale ni nishati pia ilitumika ya makaa ya mawe ambazo gharama zake leo ukilinganisha na bei ya umeme hakuna mtu mwenye akili zake timamu atatumia hizo mbinu.
Halafu kama ujawahi kuangalia documentaries za uzalishaji wenyewe wa zamani utaki kujua uvunjifu wa haki za binadamu humo ndani na average life expectancy ya wafanyakazi the whole thing was barbaric ambayo binadamu wa dunia ya leo awawezi kukubali kabisa.
Tatizo letu tunapenda kuona vitu ni rahisi kweli ingekuwa ivyo si nchi za africa zingekuwa na ivyo viwanda by ku refine crude oil, chuma na nonsense zingine kubwa kubwa tunazotamani bila ya uwezo.
Tutafika huko siku moja lakini embu tujikite na tunayoyaweza kwanza na yaliyo muhimu kukuza chumi zetu.
Umeme si unazalishwa. Au unaona uvivu kujenga coal plant ya kuzalisha umeme kwaajili ya steel mill? Usitegemee wawekezaji kwenye miradi kama hii. Tumekuwa wategemezi kwa wawekezaji kama walemavu. Ipo hivi, hakuna nchi inataka wengine wazalishe chuma na kujitegemea. Historia inaonyesha hivyo. Hawawezi kuwapa mikopo na mambo mengine wawekezaji wao waje huku kutusaidia kuzalisha chuma. Serikali zinatakiwa kupambana kuhahikisha nchi zao zinazalisha chuma. Chuma ni kama hospitali na shule. Huwezi tegemea wawekezaji kukujengea shule na hospitali.Huo umeme wa kuyeyusha hicho chuma mnao?au mnafikili hicho chuma kinategea umeme kama viwanda vya pale mwenge kwa waindi,chuma hiyo inaitaji mtaji mkubwa ndio maana wawekezaji wanapakimbia,kama pangekuwa ni laisi hiyo biashara ingefanyika tokea enzi za mkapa.
Usingeleta habari za yai na kuku kwenye chuma na umeme wakati ukweli ni kuwa chuma(steel) kilianza kuzalishwa na kikatengeneza reli na matreni na madaraja kabla ya umeme.
Na Hiyo dollar bilioni moja ni average. Siyo kwamba lazima kiwanda kitumie hiyo kujiendesha. Inaweza kuwa juu au kuwa chini. Kama mahitaji yetu ni chuma cha 400m kwa mwaka, kwanini ung'ang'anie tuwe na kiwanda kinachojiendesha kwa 1bln kwa mwaka. Si ni ujuha! Au unataka kusema kuzalisha chuma cha 400m utahitaji 1bln!!! Ni kiasi gani cha chini kiwanda kinaweza kuzalisha kwa faida(Japo kwa nchi uzalishaji wa chuma haupaswi kuangalia faida).
Uzalishaji wa chuma ni kama hospitali, shule au barabara. Ni muundo mbinu. Ukikipigia hesabu kama unauza vitu dukani utafeli.
Mazingira ya kwenye steel mills huwa ni magumu sana, lakini ukitaka yawe kwa standard za Ulaya utafeli. Leo China anazalisha chuma na makaa ya mawe kwa wingi sana na mazingira ya wafanyakazi yanapigiwa kelele daily. Mazingira ya wafanyakazi kwenye viwanda vya nguo yanapigiwa kelele daily lakini ndiyo anavisha dunia nzima. Unaposoma hizo ripoti ongeza na akili yako, angalia na mazingira yako. Hii ndiyo shida ya watu huku Africa. Hawezi tumia alichojifunza kwenye mazingira yake.
Ngoja twende taratibu, maana inaonekana umeokota tu huko taarifa bila kuzielewa. Inasemwa kuwa gharama za kujenga steel mill ni usd 1bln hadi 4bln. Kumbuka kuwa hii ni gharama ya ujenzi si running cost. Pengine kwenye jedwali lako itaingia kwenye fixed cost.View attachment 2218896
Ndio hayo niliyokwambia awali ya mambo yetu watanzania baada ya muda tunatoka kwenye facts na kujadili mambo yaliyo kichwani kwetu na kuachana na uhalisia.
Nina miaka 13 sasa JF I know my people.
Ushaambiwa average running costs ni $1 billion, maana yake ili upate faida lazima uzalishe chuma Cheney thamani ya walau dollar billion moja na zaidi.
Wewe unasema si tutazalisha cha $400 millioni wakati nilishakwambia huko nyuma kwa kufanya ivyo serikali itabidi kutoa ruzuki ya $600 millions ili kiwanda kiwepo.
Hizo hoja zako zingine wala sio za kuangaika kuzijibu ni yale yale ya vitu vilivyo kichwani kwako tu.
Ngoja twende taratibu, maana inaonekana umeokota tu huko taarifa bila kuzielewa. Inasemwa kuwa gharama za kujenga steel mill ni usd 1bln hadi 4bln. Kumbuka kuwa hii ni gharama ya ujenzi si running cost. Pengine kwenye jedwali lako itaingia kwenye fixed cost.
Wewe unadai average running cost ni usd billion moja. Najua utakuwa unafahamu maana ya average. Je mills zenye running cost chini ya usd 1billion zote zinamake loss? Nauliza hivi naassume huchanganyi gharama za ujenzi na za uendeshaji.
Pia achana na habari za nipo humu miaka 13.
Tena ilikuwa treni ya umeme! Misukule yake ilivyoshangilia sasa...!Hivi ile treni lake lishawasili
Ova
View attachment 2219016
Inaonekana usomi ata post za majibu ya watu unao wa quote nilikuwekea na link ya running costs structure ni ya zamani kidogo 2009 sasa weka hapo inflation adjustment ya miaka yote.
Hapo ndipo kwenye running costs.
Gharama za kujenga ni nyingine kabisa + matakwa ya viwanda vya leo kwenye carbon capture technologies.
Halafu kukusaidia tu fixed cost na running costs ni vitu viwili tofauti.
Running/Production costs ni = fixed costs + variable costs.
Hujui hata fixed costs kitu gani, hivi tangia lini fixed costs zikawa sehemu ya ujenzi wa plant. Ata elementary accounts za sekondari shida kwako, kweli tuongelee finance za miradi kubwa.
Narudia tena nipo JF 13 years I know our people unaweza bishana na mtu jambo unakuta anabishia tu kwa sababu ana support mtazamo fulani wakati abc za jambo lenyewe halielewi.
Ni hivi serikali aina uwezo wa kujenga hiko kiwanda ata wakitaka kufanya kutokana na mapato yao na demand ya chuma uamini waambie wafanye.
As me, mchana mwema 👋
Umenena vyema! Shukurani!Hujajibu maswali. Umesema average running costs ni usd 1 bln. Unafahamu maana ya average?
Je mills zinazojiendesha chini ya average. Chini ya usd 1bln, zinapata hasara zote? Maana umekazana kuwa kutakuwa na hasara ya 600m. Ni lazima kutumia 1bln kuzalisha chuma cha 400m?
Mwisho niseme. Chuma ni kama hospitali na shule. Ni muundombinu, huwezi kukiwekea gharama. China walitaka kutumi 1.4bln usd kujenga reli kutoka Liganga hadi Mtwara kusafirisha ores. Bado hapo waweke mgodi. Bafo wasafirishe toka Mtwara hadi Uchina. Na huko waende kukifuw. Unafikiri hawajui faida ya kuwa na chuma. Kuna kipindi nilikuwa huko Ludewa. Wajapan na Wamarekani walikuwa wanapishana kutoa misaada wakivizia chuma.
Faida za chuma ni kubwa kuliko hesabu za kwenye makaratasi. Ni kama kujenga Bwawa la umeme nk.
Na acha kupotosha. Gharama za ujenzi zipo kwenye fixed cost. Unajidai kupinga kitu ambacho unakifanya.
Sisi tunaitaka SGR,tumechoka kukaa kwenye Bus masaa 12+Zaidi ya tilioni 21 hizi zingewekwa kwenye kilimo zingesharudi kitambo. SGR haikuwa ya haraka sana wala ulazima Sana sababu tayari Ina mbadala na Hakuna mzigo wowote uliokwama kusafiri ukisubiria SGR