Gwaride la mwisho kubwa alilohudhuria Hayati Magufuli-JW walipiga gwaride la nguvu siku hiyo utadhani walikuwa wanamuaga!

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
15,101
Reaction score
56,054
Mm nilijua kafufuka bwana.


KAZI ni kipimo cha UTU
 
Hivi Mkuu uko serious kweli? Huwa unaangalia gwaride za nchi nyingine? Hiki kituko ndio cha kusifia?

Kikosi pekee walichofanya vizuri ni cha majini pekee, wengine hasa waliotangulia ni aibu tupu wanapoteana step wamevimbiana vitambi hadi aibu.

Nimejisikia aibu sana kuona kumbe hadi Museven alikuwepo kushuhudia hayo mauzauza!
 

Acha kujichukia. Gwaride zuri sana makamanda walipiga.
Kuwa na mwili wenye nyama siyo uzembe na wala siyo afya mbovu. Cha msingi ni ukakamavu na tumeuona.
 
Majizi roho mpwitu mpwitu.

Viroho vya majizi vinapwita vikisikia jina la Magufuli. Cc: X_INTELLIGENCE

Ole wenu afufuke mtajua hamjui.

Ni kucharazwa mijeledi tu.
 
Huwa hayafanyiki Kwa bahati mbaya!

Ukishakua mtu wa state future yako inaamuliwa na hiyo hiyo state!

Mawazo huru haya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…