Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Wanaukumbi.
Inna lillahi waina ilayhi rajiuun
Ndiyo Lugha pekee ambayo inaweza Kuliwaza Mtetemo wa Moyo, Huzuni na Simanzi Kubwa Waliyonayo Waislamu na Watanzania kwa Kuondokewa na Mzee wao, Mpigania Uhuru wa Tanganyika, Mpigania Uhuru aliyemhami Mwalimu Nyerere (Rais wa Kwanza wa Tanzania) kwa Kumpa Malazi na Usafiri katika Harakati za Kudai Uhuru katika Mkoa wa Tabora
Gwiji la Siasa na Mapambano ya Kudai Uhuru MZEE BILALI WAIKELA
POLENI WANA FAMILIA, POLENI WAISLAMU, POLENI WATANZANI, AMA HAKIKA ALLAH NDIYE MWENYE MAAMUZI YA MWISHO KATIKA YOOOTE TUYAFANYAYO
Soma kuhusu Bilal Bilal Waikela ni nani?