TANZIA Gwiji la Siasa na Mapambano ya Kudai Uhuru, Mzee Bilali Waikela amefariki dunia

TANZIA Gwiji la Siasa na Mapambano ya Kudai Uhuru, Mzee Bilali Waikela amefariki dunia

Waalaikum salaam warahmatullahi akhy.
Halafu wakipigwa nkwenzi tu wanakimbilia kwenye vyombo vya habari na kudai wameripuliwa!
Yaani Ukafiri ni SHIDA mbaya sana

Wanataman Sana kusikia majina ya mapadri wao katika viunga vya mapambano ya uhuru ila haiwezekan,hawakuwa kwenye harakati hizo
 
Kuna sababu yo yote ya kuwapa pole Waislamu

Kuna sababu yo yote ya kutaja Waislamu katika mada hii? Kama angekuwa amekufa Shehe hapo ingeeleweka; sawa na Padre au Askofu akifa itaeleweka kama ukiwafariji Wakristu. Tuache huu upuuzi wa kuingiza dini katika mambo yasiyohusika. Jambo hili ltatufikisha pabaya.
Wacha chuki za kizamani we mgalatia.
Akifa muislamu popote Duniani awe Rais au mfalme au askari ni WAJIBU WETU SISI WAISLAMU Kutoa tanzia kwa namna hii.
Chuki mlizonazo zinawamaliza wenyewe ndani kwa ndani.
Yaani mlivyo na chuki na sisi baadhi yenu mmeacha kabisa KULA WALI eti mnadai ni wa WAISLAMU.
Hivi lini mtaamka na kutambua kuwa Chuki hizi zinawadhuru nyie zaidi kuliko sisi?
HASBIALLAHU waneema-l wakeel.
 
Kwani Waislamu hawakuona muislamu mwenzao mwenye akili Hadi wamuhifadhi Mwl Nyerere?

Walikuwapo Tena wengi Sana tuh,

Kwan kulikuwa Kuna ubaya kwa wao waislam kumpa kipaombele Nyerere?

As long as lilikuwa suala la nchi wao waislam hawakuwaza kuhusu ukristo au ukafir wa Nyerere,umeelewa we muimba kwaya
 
Sema poleni watanzania sio waislamu unaleta mtafaruku mtu wangu baina yetu
Yaani kutajwa WAISLAMU ktk pole tayari waefeso wanaona kero!?
Yaani hii sio laana tena bali ni uchizi.
Kesho mtasema wasiweke sehemu za kunawa mikono mahotelini bali waweke vijiko tu manake Waislamu ndio wanakula kwa mikono na wagalatia watakwazika.

Hizi imani zingine ni mzigo hatari.
 
Wanaukumbi.
Inna lillahi waina ilayhi rajiuun

Mpigania Uhuru wa Tanganyika, Mpigania Uhuru katika Harakati za Kudai Uhuru katika Mkoa wa Tabora, Gwiji la Siasa na Mapambano ya Kudai Uhuru MZEE BILALI WAIKELA
Mkuu Ritz , asante kwa taarifa
Inna lillahi waina ilayhi rajiuun

RIP Bilali Waikela
P
 
Mohamed Said akija

"Mzee Waikela nilikutana naye kwa mara ya kwanza Kariakoo msikitini akiwa mstari wa mbele nami nikiwa nyuma kidogo baada ya swala Abdul Sykes aliniita na kunitambulisha na akanipa miadi nikifika Tabora nifike kwake

Baada ya hapo nilipata safari ya kwenda kigoma nilipofika Tabora nilishuka na kukumbuka mualiko wa mzee Waikela kwa kuwa ni mtu maarufu haikuniwia vigumu kupafahamu kwake..............
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] tusubiri
 
Unapomtaja Mzee wetu Mohamed Said kwa dhihaka kama hivyo ni Kam unajidhalilisha mwenyew tuh,Mzee Mohamed Said maarufu hata hapa Jukwaa linamtambua na amepewa hadi Tuzo,sembuse wewe pangu pakavu
Dhihaka iko wapi sheikh?

Mambo ya tuzo yanasaidia nn
 
Wacha chuki za kizamani we mgalatia.
Akifa muislamu popote Duniani awe Rais au mfalme au askari ni WAJIBU WETU SISI WAISLAMU Kutoa tanzia kwa namna hii.
Chuki mlizonazo zinawamaliza wenyewe ndani kwa ndani.
Yaani mlivyo na chuki na sisi baadhi yenu mmeacha kabisa KULA WALI eti mnadai ni wa WAISLAMU.
Hivi lini mtaamka na kutambua kuwa Chuki hizi zinawadhuru nyie zaidi kuliko sisi?
HASBIALLAHU waneema-l wakeel.
"Akifa Muislamu po pote duniani, hatuna budi Waislamu kutoa tanzia kwa namna hii'. Jee, Rashid Mfaume Kawawa alipokufa, kulitolewa rambirambi za hivyo? Jee, Seif Sherif Hamad alipokufa zilitolewa rambirambi za aina hiyo? Hiyo ni mifano miwili tu ya kukanusha kauli yako. Kwa kuwa jibu ni 'Hapana' kwa maswali yote mawili, ni dhahiri una lako unalolilenga kwa kisingizio unachokijua mwenyewe.
 
View attachment 2283255
Wanaukumbi.
Inna lillahi waina ilayhi rajiuun

Ndiyo Lugha pekee ambayo inaweza Kuliwaza Mtetemo wa Moyo, Huzuni na Simanzi Kubwa Waliyonayo Waislamu na Watanzania kwa Kuondokewa na Mzee wao, Mpigania Uhuru wa Tanganyika, Mpigania Uhuru aliyemhami Mwalimu Nyerere (Rais wa Kwanza wa Tanzania) kwa Kumpa Malazi na Usafiri katika Harakati za Kudai Uhuru katika Mkoa wa Tabora

Gwiji la Siasa na Mapambano ya Kudai Uhuru MZEE BILALI WAIKELA

POLENI WANA FAMILIA, POLENI WAISLAMU, POLENI WATANZANI, AMA HAKIKA ALLAH NDIYE MWENYE MAAMUZI YA MWISHO KATIKA YOOOTE TUYAFANYAYO
View attachment 2283246

Soma kuhusu Bilal Bilal Waikela ni nani?
INNALILAHI WAINNAILAIHI RAAJIOUUN,
Allah amlaze pahala pema mpigania Uhuru shupavu.
 
Mzee Waikela alikuwa kiongozi ndani ya East African Muslim Welfare Society (EAMWS) na alikuwa pia mstari wa mbele katika TANU.
Sema alikua mstari wa mbele katika dini ya wavaa kobazi.
 
Mohamed Said akija

"Mzee Waikela nilikutana naye kwa mara ya kwanza Kariakoo msikitini akiwa mstari wa mbele nami nikiwa nyuma kidogo baada ya swala Abdul Sykes aliniita na kunitambulisha na akanipa miadi nikifika Tabora nifike kwake

Baada ya hapo nilipata safari ya kwenda kigoma nilipofika Tabora nilishuka na kukumbuka mualiko wa mzee Waikela kwa kuwa ni mtu maarufu haikuniwia vigumu kupafahamu kwake..............
Mohamed Said
 
Mzee Waikela alikuwa kiongozi ndani ya East African Muslim Welfare Society (EAMWS) na alikuwa pia mstari wa mbele katika TANU.
Mbona vdeo umeikata, fupi, hajamaliza kusema😭😭
 
"Akifa Muislamu po pote duniani, hatuna budi Waislamu kutoa tanzia kwa namna hii'. Jee, Rashid Mfaume Kawawa alipokufa, kulitolewa rambirambi za hivyo? Jee, Seif Sherif Hamad alipokufa zilitolewa rambirambi za aina hiyo? Hiyo ni mifano miwili tu ya kukanusha kauli yako. Kwa kuwa jibu ni 'Hapana' kwa maswali yote mawili, ni dhahiri una lako unalolilenga kwa kisingizio unachokijua mwenyewe.
Tatizo lenu waefeso huwa mnauliza maswali kisha mnatoa jibu wenyewe.
Hii ni dalil ya ubongo kuwa likizo. Yaani you will never improve intellectually.

Hao uliowataja hapo juu walifanyiwa maombi ya Kiislamu kila sehemu.
Kwenye mitandao ya Jamii .
Kwenye Radio. TV MAGAZETI Mpk watu walikaa ktk nyumba za wafiwa masiku kadhaa wakiombewa kwa mujibu Dini yao ya KIISLAMU.
Km hutaki endelea kutembea.
Hapa panahitaji busara .
 
We muimba kwaya mbona una nongwa?

Huna haja Wala sababu ya jazba,unachopaswa kujua ni kwamba hao waislam ndiyo waliompokea Nyerere na kusaidia katika harakati za uhuru wa nchi hii,kinachofanyika hapa ni kuweka kumbu kumbu sawa Ili watu wasiojuwa Kama we na wenzako mjue,mkichukia au mkinuna hiyo ni juu yenu sisi haituhusu
Hawa wana wa kondoo wana laana flani hivi.
Yaani hata wakiskia waislamu wanatumia Nazi kwenye wali basi wanaanza kuchukia NAZI. Na akipita muuza NAZI wanamchukia km kala mali ya Paroko.

Ni Shida akhy !
 
Huwa ninajiuliza, Kuna uhusiano gani kati ya uislamu na umri mrefu?? Au ni coincidence tu!

R.I.P Mzee mpigania uhuru.
Waislam ni watu wakarim naniwaungwana, namaisha yao yote huishi kwa kumuogopa Mwenyeezi Mungu ndio maana wanaishi umri mrefu.
 
Back
Top Bottom