Msambichaka Mkinga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 1,649
- 2,911
Maisha marefu ni zawadi inayotelewa na Mungu, hakuna ajuaye sababu, japo wataalam wana sababu za Kisayansi, ambazo kuna wakati zinakataa.Waislam ni watu wakarim naniwaungwana, namaisha yao yote huishi kwa kumuogopa Mwenyeezi Mungu ndio maana wanaishi umri mrefu.
Wapo waislam wanaojaliwa maisha marefu, wapo wakristo, wapo wahindu, wapo wa imani za jadi. Kama kungekuwa na dini ambayo wafuasi wake wamehakikishiwa maisha marefu au kutokufa kabisa, huenda watu wengi wangejazana huko.
"The oldest person living (female) was Kane Tanaka (Japan, b. 2 January 1903) who recently passed away on 19 April 2022 at the age of 119.
The new oldest person living (female) and the overall oldest person living is Sister André (France, b. 11 February 1904 as Lucile Randon) who is now officially the oldest person alive at 118 years 73 days old.
The oldest person ever (male) was Jiroemon Kimura (Japan, b. April 19, 1897) and he passed away aged 116 years 54 days on June 12, 2013"