TANZIA Gwiji la Siasa na Mapambano ya Kudai Uhuru, Mzee Bilali Waikela amefariki dunia

TANZIA Gwiji la Siasa na Mapambano ya Kudai Uhuru, Mzee Bilali Waikela amefariki dunia

Huyu mzee alikua ni mwamba sana. Inasikitisha kuwa Waislamu wenyewe ndio walioanza kuwadharau hawa wazee.
 
View attachment 2283255
Wanaukumbi.
Inna lillahi waina ilayhi rajiuun

Ndiyo Lugha pekee ambayo inaweza Kuliwaza Mtetemo wa Moyo, Huzuni na Simanzi Kubwa Waliyonayo Waislamu na Watanzania kwa Kuondokewa na Mzee wao, Mpigania Uhuru wa Tanganyika, Mpigania Uhuru aliyemhami Mwalimu Nyerere (Rais wa Kwanza wa Tanzania) kwa Kumpa Malazi na Usafiri katika Harakati za Kudai Uhuru katika Mkoa wa Tabora

Gwiji la Siasa na Mapambano ya Kudai Uhuru MZEE BILALI WAIKELA

POLENI WANA FAMILIA, POLENI WAISLAMU, POLENI WATANZANI, AMA HAKIKA ALLAH NDIYE MWENYE MAAMUZI YA MWISHO KATIKA YOOOTE TUYAFANYAYO

View attachment 2283246

Soma kuhusu Bilal Bilal Waikela ni nani?
Usitulazimishe kuamini unachokitaka wewe kwa kumwaga misifa kibao.

Jambo la msingi ni kumuombea mwendazake aepushwe na adhabu ya kaburi.
 
Back
Top Bottom