TANZIA Gwiji la Siasa na Mapambano ya Kudai Uhuru, Mzee Bilali Waikela amefariki dunia

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190

Wanaukumbi.
Inna lillahi waina ilayhi rajiuun

Ndiyo Lugha pekee ambayo inaweza Kuliwaza Mtetemo wa Moyo, Huzuni na Simanzi Kubwa Waliyonayo Waislamu na Watanzania kwa Kuondokewa na Mzee wao, Mpigania Uhuru wa Tanganyika, Mpigania Uhuru aliyemhami Mwalimu Nyerere (Rais wa Kwanza wa Tanzania) kwa Kumpa Malazi na Usafiri katika Harakati za Kudai Uhuru katika Mkoa wa Tabora

Gwiji la Siasa na Mapambano ya Kudai Uhuru MZEE BILALI WAIKELA

POLENI WANA FAMILIA, POLENI WAISLAMU, POLENI WATANZANI, AMA HAKIKA ALLAH NDIYE MWENYE MAAMUZI YA MWISHO KATIKA YOOOTE TUYAFANYAYO

Your browser is not able to display this video.


Soma kuhusu Bilal Bilal Waikela ni nani?
 

Amefariki na miaka mingapi?
 
Mpigania Uhuru wa Tanganyika, Mpigania Uhuru aliyemhami Mwalimu Nyerere (Rais wa Kwanza wa Tanzania) kwa Kumpa Malazi na Usafiri katika Harakati za Kudai Uhuru katika Mkoa wa Tabora
Huwa ninajiuliza, Kuna uhusiano gani kati ya uislamu na umri mrefu?? Au ni coincidence tu!

R.I.P Mzee mpigania uhuru.
 
Khaaaa Tanzia naona imetokewa na wakongwe ambao wengine nlizan wamebadili Id kumbe wapo. kahtaan ulipotea wapi komredi
 
Mohamed Said akija

"Mzee Waikela nilikutana naye kwa mara ya kwanza Kariakoo msikitini akiwa mstari wa mbele nami nikiwa nyuma kidogo baada ya swala Abdul Sykes aliniita na kunitambulisha na akanipa miadi nikifika Tabora nifike kwake

Baada ya hapo nilipata safari ya kwenda kigoma nilipofika Tabora nilishuka na kukumbuka mualiko wa mzee Waikela kwa kuwa ni mtu maarufu haikuniwia vigumu kupafahamu kwake..............
 
Kuna sababu yo yote ya kuwapa pole Waislamu
Kuna sababu yo yote ya kutaja Waislamu katika mada hii? Kama angekuwa amekufa Shehe hapo ingeeleweka; sawa na Padre au Askofu akifa itaeleweka kama ukiwafariji Wakristu. Tuache huu upuuzi wa kuingiza dini katika mambo yasiyohusika. Jambo hili ltatufikisha pabaya.
 

Unapomtaja Mzee wetu Mohamed Said kwa dhihaka kama hivyo ni Kam unajidhalilisha mwenyew tuh,Mzee Mohamed Said maarufu hata hapa Jukwaa linamtambua na amepewa hadi Tuzo,sembuse wewe pangu pakavu
 
إِنَّا لِلَّٰهِ وَإِنَّا إِلَيْهِ رَاجِعُونَ‎
 

We muimba kwaya mbona una nongwa?

Huna haja Wala sababu ya jazba,unachopaswa kujua ni kwamba hao waislam ndiyo waliompokea Nyerere na kusaidia katika harakati za uhuru wa nchi hii,kinachofanyika hapa ni kuweka kumbu kumbu sawa Ili watu wasiojuwa Kama we na wenzako mjue,mkichukia au mkinuna hiyo ni juu yenu sisi haituhusu
 
Kwani Waislamu hawakuona muislamu mwenzao mwenye akili Hadi wamuhifadhi Mwl Nyerere?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…