THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Waalaikum salaam warahmatullahi akhy.
Halafu wakipigwa nkwenzi tu wanakimbilia kwenye vyombo vya habari na kudai wameripuliwa!
Yaani Ukafiri ni SHIDA mbaya sana
Wacha chuki za kizamani we mgalatia.Kuna sababu yo yote ya kuwapa pole Waislamu
Kuna sababu yo yote ya kutaja Waislamu katika mada hii? Kama angekuwa amekufa Shehe hapo ingeeleweka; sawa na Padre au Askofu akifa itaeleweka kama ukiwafariji Wakristu. Tuache huu upuuzi wa kuingiza dini katika mambo yasiyohusika. Jambo hili ltatufikisha pabaya.
Kwani Waislamu hawakuona muislamu mwenzao mwenye akili Hadi wamuhifadhi Mwl Nyerere?
Yaani kutajwa WAISLAMU ktk pole tayari waefeso wanaona kero!?Sema poleni watanzania sio waislamu unaleta mtafaruku mtu wangu baina yetu
Mkuu Ritz , asante kwa taarifaWanaukumbi.
Inna lillahi waina ilayhi rajiuun
Mpigania Uhuru wa Tanganyika, Mpigania Uhuru katika Harakati za Kudai Uhuru katika Mkoa wa Tabora, Gwiji la Siasa na Mapambano ya Kudai Uhuru MZEE BILALI WAIKELA
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] tusubiriMohamed Said akija
"Mzee Waikela nilikutana naye kwa mara ya kwanza Kariakoo msikitini akiwa mstari wa mbele nami nikiwa nyuma kidogo baada ya swala Abdul Sykes aliniita na kunitambulisha na akanipa miadi nikifika Tabora nifike kwake
Baada ya hapo nilipata safari ya kwenda kigoma nilipofika Tabora nilishuka na kukumbuka mualiko wa mzee Waikela kwa kuwa ni mtu maarufu haikuniwia vigumu kupafahamu kwake..............
Dhihaka iko wapi sheikh?Unapomtaja Mzee wetu Mohamed Said kwa dhihaka kama hivyo ni Kam unajidhalilisha mwenyew tuh,Mzee Mohamed Said maarufu hata hapa Jukwaa linamtambua na amepewa hadi Tuzo,sembuse wewe pangu pakavu
"Akifa Muislamu po pote duniani, hatuna budi Waislamu kutoa tanzia kwa namna hii'. Jee, Rashid Mfaume Kawawa alipokufa, kulitolewa rambirambi za hivyo? Jee, Seif Sherif Hamad alipokufa zilitolewa rambirambi za aina hiyo? Hiyo ni mifano miwili tu ya kukanusha kauli yako. Kwa kuwa jibu ni 'Hapana' kwa maswali yote mawili, ni dhahiri una lako unalolilenga kwa kisingizio unachokijua mwenyewe.Wacha chuki za kizamani we mgalatia.
Akifa muislamu popote Duniani awe Rais au mfalme au askari ni WAJIBU WETU SISI WAISLAMU Kutoa tanzia kwa namna hii.
Chuki mlizonazo zinawamaliza wenyewe ndani kwa ndani.
Yaani mlivyo na chuki na sisi baadhi yenu mmeacha kabisa KULA WALI eti mnadai ni wa WAISLAMU.
Hivi lini mtaamka na kutambua kuwa Chuki hizi zinawadhuru nyie zaidi kuliko sisi?
HASBIALLAHU waneema-l wakeel.
INNALILAHI WAINNAILAIHI RAAJIOUUN,View attachment 2283255
Wanaukumbi.
Inna lillahi waina ilayhi rajiuun
Ndiyo Lugha pekee ambayo inaweza Kuliwaza Mtetemo wa Moyo, Huzuni na Simanzi Kubwa Waliyonayo Waislamu na Watanzania kwa Kuondokewa na Mzee wao, Mpigania Uhuru wa Tanganyika, Mpigania Uhuru aliyemhami Mwalimu Nyerere (Rais wa Kwanza wa Tanzania) kwa Kumpa Malazi na Usafiri katika Harakati za Kudai Uhuru katika Mkoa wa Tabora
Gwiji la Siasa na Mapambano ya Kudai Uhuru MZEE BILALI WAIKELA
POLENI WANA FAMILIA, POLENI WAISLAMU, POLENI WATANZANI, AMA HAKIKA ALLAH NDIYE MWENYE MAAMUZI YA MWISHO KATIKA YOOOTE TUYAFANYAYO
View attachment 2283246
Soma kuhusu Bilal Bilal Waikela ni nani?
Sema alikua mstari wa mbele katika dini ya wavaa kobazi.Mzee Waikela alikuwa kiongozi ndani ya East African Muslim Welfare Society (EAMWS) na alikuwa pia mstari wa mbele katika TANU.
Mohamed SaidMohamed Said akija
"Mzee Waikela nilikutana naye kwa mara ya kwanza Kariakoo msikitini akiwa mstari wa mbele nami nikiwa nyuma kidogo baada ya swala Abdul Sykes aliniita na kunitambulisha na akanipa miadi nikifika Tabora nifike kwake
Baada ya hapo nilipata safari ya kwenda kigoma nilipofika Tabora nilishuka na kukumbuka mualiko wa mzee Waikela kwa kuwa ni mtu maarufu haikuniwia vigumu kupafahamu kwake..............
Mbona vdeo umeikata, fupi, hajamaliza kusema😭😭Mzee Waikela alikuwa kiongozi ndani ya East African Muslim Welfare Society (EAMWS) na alikuwa pia mstari wa mbele katika TANU.
Tuliza mbwisiUnapomtaja Mzee wetu Mohamed Said kwa dhihaka kama hivyo ni Kam unajidhalilisha mwenyew tuh,Mzee Mohamed Said maarufu hata hapa Jukwaa linamtambua na amepewa hadi Tuzo,sembuse wewe pangu pakavu
Tatizo lenu waefeso huwa mnauliza maswali kisha mnatoa jibu wenyewe."Akifa Muislamu po pote duniani, hatuna budi Waislamu kutoa tanzia kwa namna hii'. Jee, Rashid Mfaume Kawawa alipokufa, kulitolewa rambirambi za hivyo? Jee, Seif Sherif Hamad alipokufa zilitolewa rambirambi za aina hiyo? Hiyo ni mifano miwili tu ya kukanusha kauli yako. Kwa kuwa jibu ni 'Hapana' kwa maswali yote mawili, ni dhahiri una lako unalolilenga kwa kisingizio unachokijua mwenyewe.
Hawa wana wa kondoo wana laana flani hivi.We muimba kwaya mbona una nongwa?
Huna haja Wala sababu ya jazba,unachopaswa kujua ni kwamba hao waislam ndiyo waliompokea Nyerere na kusaidia katika harakati za uhuru wa nchi hii,kinachofanyika hapa ni kuweka kumbu kumbu sawa Ili watu wasiojuwa Kama we na wenzako mjue,mkichukia au mkinuna hiyo ni juu yenu sisi haituhusu
Waislam ni watu wakarim naniwaungwana, namaisha yao yote huishi kwa kumuogopa Mwenyeezi Mungu ndio maana wanaishi umri mrefu.Huwa ninajiuliza, Kuna uhusiano gani kati ya uislamu na umri mrefu?? Au ni coincidence tu!
R.I.P Mzee mpigania uhuru.