1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Kwa hyo nikiweka 4 kamili navuta brevis [emoji41]Hizo ndio bei zake kitambo sana.
Tena mbona hiyo ipo juu
Allah kariim
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hyo nikiweka 4 kamili navuta brevis [emoji41]Hizo ndio bei zake kitambo sana.
Tena mbona hiyo ipo juu
Allah kariim
Urafiki nimekaa sana kota hapo, enz hizo dingi AfandeeeeeeeeeMkuu mbona nlikujibu nikakwambia ongeza kidogo iyo 4 iko chini sana....na gari iko urafik karib na kituo cha police ukihitaji kuja kuiona
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio tabia za kiume hizo
Bora umenisaidia maana anatabia za kike kike uyo...wivu unamsumbuaSio tabia za kiume hizo
😀Hii gari nimesoteaga toka december nikiamini itafika kwenye 4.5m niichukue... naona imegoma kushuka [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikwap hyo mkuuKweli hali ngumu,kuna mwingine anauza Brevis No DGH ml.4,500,000!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo injini zina shida gani mkuu?Hiyo ya 2500CC ina injini ya 1JZ,
BEAMS 2000 vvti zina cc1980
Sikuonei wivu wala sio nakashfu.Usipokubali ukaliuza kwa bei ambayo inapendekezwa na wadau mama ndinga kuuza ni ngumu.Kumbuka gari zina shuka thamaniGar bado ipo