Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 8,069
- 15,029
Ngoja waje!Uzi huu ni kwa ajili ya watu wa mazoezi wanaoenda gym au wale wanaofanya mazoezi makali iwe ya kukimbia, mazoezi ya viungo au high intensity interval training (HIIT) au kunyanyua vitu vizito.
Je unatumia njia gani kurecover after mazoezi? Especially kama unafanya siku 3 mpaka 5 kwa week?
1. Kupumzika sana (zaidi ya masaa 10)
2. Unatumia dawa? Zipi?
3. Unatumia suppluliments? Zipi?
4. Hufanyi lolote mwili unajiendesha tu...
Karibuni.
Kahawa sio inacheza tu na hisia zako kuboost kwa muda?Acha niweke kambi hapa π₯
Ni kweli niliwahi kunyanyua chuma uzito mkubwa nilipata shida kwenye kibofu cha mkojo but now nipo okUkiona unapata maumivu makali baada ya mazoezi basi kuna kitu unakosea
Pole, lakini Hongera kwa kufanya na kutambua umuhimu wa mazoeziNi kweli niliwahi kunyanyua chuma uzito mkubwa nilipata shida kwenye kibofu cha mkojo but now nipo ok
Napenda sana na kukimbia mara ya mwisho nilikimbia Muhas marathonPole, lakini Hongera kwa kufanya na kutambua umuhimu wa mazoezi
FantasticNapenda sana na kukimbia mara ya mwisho nilikimbia Muhas marathon
10 na ilikua mara ya kwanza hua nakimbia 5 π maana before nilikua overweightFantastic
Kilometa ngapi ulikata
Duh 10km kwa mara kwanza lazima maji uite mma,10 na ilikua mara ya kwanza hua nakimbia 5 π maana before nilikua overweight
Duh 10km kwa mara kwanza lazima maji uite mma,
Kilometa 5 huwa unatumia muda gani na pace ngapi?
Uko sahihi na kwenye mazoezi usipende kushindana kuna watu wana mapafu ya simbaMimi hukimbia 5K for fun tu, kama sehemu ya mtoko na mazoezi
Kwa hiyo sihangaikii muda, huwa nakimbia kwa pace yangu mwenyewe hadi namaliza, hata kama ni wa mwisho π
ππ nina mwili kiasi fulani sehem na enjoy zaidi ni gym ποΈββοΈ na aerobics ile ya step na mziki pembeniUko sahihi na kwenye mazoezi usipende kushindana kuna watu wana mapafu ya simba
Ukifata moyo unaweza kupasuka.
Uko vizuri
Endelea kukomaa ila jitahidi kutrack level yako na uwezo wako ili itusaidie kuimprove taratibu
ππ nina mwili kiasi fulani sehem na enjoy zaidi ni gym ποΈββοΈ na aerobics ile ya step na mziki pembeni
Hongera basi Jitahidi kufanya kile anachopenda.ππ nina mwili kiasi fulani sehem na enjoy zaidi ni gym ποΈββοΈ na aerobics ile ya step na mziki pembeni
Ila nitaanza kutrack level kwenye mbio nione ila pumzi inawahi kukata tofauti na aerobics na hii inanishangaza