Gym "guys" je ni njia gani unatumia kupunguza uchovu baada ya mazoezi kupata matokeo?

Karibu sana, mshikaji wangu,
Tutapasha misuli joto, kisha tutapimana mbio fupi na mbio ndefu, jogging na kusprint
Kwenye mbio hapo utanishinda siku hizi pumzi imekata..!! Kuruka Kamba naishia 500 wakati nilikua naenda hadi buku..!

Yani siku hizi nimekuwa mvivu toka niache mazoezi.
 
Massage ndio kila kitu with happy ending hadi raha
 
Yani unatoka mazoezi unaenda kutiana ili kupunguza uchovu?
Ndio mazoezi au hujui kama kutiana ni mazoezi, ww unadhani zile style alaf mtu akimwaga usingizi mzito unakuja unadhani ni kawaida hahha, ni mazoezi toshaaa
 
Hizo protein mnajua side effects zake?
Mkuu protein ina side effect tena? Nyama, maziwa, mayai?

Anyway hakuna kitu duniani hakina side effect hata maji ukinywa kupitiliza una overload figo.....

Protein ikizidi mwilini inasababisha figo kuzidiwa. Iwe protein ya asili au suppliment.

Kuna madhara mengine?
 
Ndio
 
Chips

Piga sahani na soseji utaniambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…