H: Baba amponda Diamond kwa kupost nyumba, asema kama ni mkweli aonyeshe hati

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
H baba amemponda Diamond kwa kupost nyumba kisa eti Ali Kiba katuma, amesema kama yeye ni mkweli ana nyumba aposti hati ya nyumba, sio mwenzake akipost nyumba naye anapost
 
Nadhani kilicho bora na muhimu kwake na kitakachomfaa zaidi sio kuona hati za nyumba ila ni yeye kufanya juhudi ili kupata zake...ok ikitokea huyo mwenzake akapost hizo hati kisha akamwambia naye a post zake atafanyaje?si'kuumbuana huko?
 
Vitu vingine vya kisoro sana. Sasa ili iweje. Hii inji hii bora malaika washuke tuu. Daimond akiwa na nyumba au Kiba asipokuwa nayo inakuongezea au kukupunguzia nini?
Yaani ili mradi ushuzi ushuzi tuu.
Halafu jitu linashinda mitandaoni kulalamika Magufuli kabana.
Utaacha kuona umebanwa wakati kutwa unajishughulisha na mambo ya watu?
Shame..
 
U spoken de truth
 
Kaona aibukie kwa diamond maana hakuna namna nyingine dogo anawasaidia watu waliofulia kila anqetaka kusikika anaibukia kwake hahaha
 
Huyu jamaa mjinga sana badala huo mda anaotumia kutokwa povu amsaidie mke wake kupost matangazo IG waingize mkwanja yeye anaulizia hati ya nyumba ya mwanaume mwenzie Daimond kashawambia hiyo kwanza ndio rasharasha mvua yenyewe inakuja!



-Nyerere-
 
ashawahi Ona kina p square wanaposti risiti walizonunulia private jet zao,au hajawahi Ona kina Chris Brown wanaonesha nyumba zao hadi kwa TV,mwambieni anunue TV awe anaangalia MTV my crib,s
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…