Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
H baba amemponda Diamond kwa kupost nyumba kisa eti Ali Kiba katuma, amesema kama yeye ni mkweli ana nyumba aposti hati ya nyumba, sio mwenzake akipost nyumba naye anapost
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
U spoken de truthVitu vingine vya kisoro sana. Sasa ili iweje. Hii inji hii bora malaika washuke tuu. Daimond akiwa na nyumba au Kiba asipokuwa nayo inakuongezea au kukupunguzia nini?
Yaani ili mradi ushuzi ushuzi tuu.
Halafu jitu linashinda mitandaoni kulalamika Magufuli kabana.
Utaacha kuona umebanwa wakati kutwa unajishughulisha na mambo ya watu?
Shame..
Mkuu kumbe wewe kama mimi? hii hali huwa inanitesa sana,yaaani nmemsikiliza lakin naona aibu mimi
Mwanamuziki fulani hivi huwa anaandaa tuzo na kujipa yeye na mkewe na wanae.hivi Hbaba ni nani wakuu..??
washikaji msinicheke mie mwenzenu mpenzi wangu bubu...bhaa bhaa bhaa bhaaaaa keleleeeehivi Hbaba ni nani wakuu..??