Ha ha ha mwalimu oyee..!!

Ha ha ha mwalimu oyee..!!

Mwalimu shikamoo...nitakuwa mratibu wako na watch man kuangalia tabia na mienendo yako kabla ya kupata post hiyo na baada...nataraji malalamiko ya kucheleweshewa salario na miundombinu duni ya kufundishia yatakuwa mengi toka kwako...by the way nikuulize swali la kizushi...vipi, uwepo wako mbele ya mujini hapa si ndo mwanzo wa kuanzisha koloni lingine na kumweka pending huyu bwana boss for good? Au yeye yupo nyuma ya mabadiliko haya uliyofanyiwa kuhamishiwa kituo bora?

Ndugu unautani sana aisee..............
 
Congs Munkari am happy for you. Sasa utafanya kazi kwa moyo mmoja maana akili imetulia na moyo umeridhika

kabisaaa!! Thanks much Hapa sasa kazi itaenda!
 
Last edited by a moderator:
daah all the best my dear hadi mimi nimefurahi nimepata pa kufikia full digital lol

ha ha ha! Best yangu uje na zanzi kabisaaaa tusherehekee btw- nimekumis sana ntakucall bdaye !!
 
Wait! Wait....tujuze na mapokeo ya wanafunzi huku, i mean sura na figure yako imeweza kuongezea wanafunzi maarifa na "utafiti zaidi" ili kuweza kupata what we call general attachment kwenye academics? Kama ndio tupe mrejesho na kama sio ni wakat wa kupiga mapowder na mamakeups ili kuwaimpress students just incase! Lazima uwe mbunifu kufikia malengo ya BRN!

ha ha ha yani wewe!! wanafunzi wenyewe hawa wa siku hizi ukiwapakia mamakeups si utakuta kibarua mezani 'mwalimu nimekuzimikia' loh BRN lazima ianzie kwa viongozi siye watendaji tu !!
 
ha ha usijali wala nini!

yaani we 'mbebez' ualimu ndo umeona ni kazi jamani!!..hako ka mshahara mnakopewa wengine ndo tunawapa pocket money watoto zetu eti nyie ndo mshahara!!..kwa mwanaume ni udhaifu sana kusomea 'kazi za kike' kama ualimu!!
 
yaani we 'mbebez' ualimu ndo umeona ni kazi jamani!!..hako ka mshahara mnakopewa wengine ndo tunawapa pocket money watoto zetu eti nyie ndo mshahara!!..kwa mwanaume ni udhaifu sana kusomea 'kazi za kike' kama ualimu!!
Hey,you just don't know,one of the cool bean zilizonifanya nimpende Munkari ni kazi yake aise so ---- that shit men.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom