Tumbili in town
JF-Expert Member
- Jun 20, 2025
- 446
- 769
Nipe usaidizi nitakupa hela ya ki istDream big
Kwa hapa bongo naona kama nitalizwaKutojua paikupata???
Vijana Acheni utani! Hata 900,000 kms huiwezi
Mil 800 hupati iyo gari.Nimezunguka showrooms nyingi hapa bongo sipati gari kama hii na hata nilizopata sio kali kama hii na sio 0 km.
Budget yangu mill 800 cash.
Nahitaji haraka maana nimeuza lc 300 na hela nimeongezea kwahiyo kwa sasa sina gari ya kutembelea mini nahitaji kwa haraka kwa mizunguko yangu ya town na trip za mbeya na mwanza , dodoma.
Acha kuzingua watu. Huko ulikoona used ungewaambia ulichoandika hapa wangekuletea mpya. Kama kweli ungekuwa ni mtu wa hio gari wala usingekuja kuuliza humu.Nimezunguka showrooms nyingi hapa bongo sipati gari kama hii na hata nilizopata sio kali kama hii na sio 0 km.
Budget yangu mill 800 cash.
Nahitaji haraka maana nimeuza lc 300 na hela nimeongezea kwahiyo kwa sasa sina gari ya kutembelea mini nahitaji kwa haraka kwa mizunguko yangu ya town na trip za mbeya na mwanza , dodoma.
Yule dereva aliekuzurumu 150000 ukamfungulia uzi ndio amekulipa hiyo 800m?Nimezunguka showrooms nyingi hapa bongo sipati gari kama hii na hata nilizopata sio kali kama hii na sio 0 km.
Budget yangu mill 800 cash.
Nahitaji haraka maana nimeuza lc 300 na hela nimeongezea kwahiyo kwa sasa sina gari ya kutembelea mini nahitaji kwa haraka kwa mizunguko yangu ya town na trip za mbeya na mwanza , dodoma.
Mil 800 Brand New hamiliki.Acha kuzingua watu. Huko ulikoona used ungewaambia ulichoandika hapa wangekuletea mpya. Kama kweli ungekuwa ni mtu wa hio gari wala usingekuja kuuliza humu.
Haya kama wewe ni mkazi wa Dar nenda pale karibu na best bite kuna hio RR,G Wagon,GLS GLC, Bentley,etc. Showroom iko karibu na Block House.
Anaota huyo, juzi tu aliomba msaada kazurumiwa 150000😃 boss anataka amlipe, leo an 800M🤣Mil 800 hupati iyo gari.
Haha hapana kaka hizi nibjokes tuYule dereva aliekuzurumu 150000 ukamfungulia uzi ndio amekulipa hiyo 800m?
Best bite yenyewe hajui IPO wapi...Acha kuzingua watu. Huko ulikoona used ungewaambia ulichoandika hapa wangekuletea mpya. Kama kweli ungekuwa ni mtu wa hio gari wala usingekuja kuuliza humu.
Haya kama wewe ni mkazi wa Dar nenda pale karibu na best bite kuna hio RR,G Wagon,GLS GLC, Bentley,etc. Showroom iko karibu na Block House.
Nimezunguka showrooms nyingi hapa bongo sipati gari kama hii na hata nilizopata sio kali kama hii na sio 0 km.