Tumbili in town
JF-Expert Member
- Jun 20, 2025
- 446
- 769
- Thread starter
- #41
Nilienda hapo wamesema kwa sasa wanauza ford tu nq sikuzpendaAgiza CMC. Acha maneno maneno...cash milion 800?
Kweli wajinga ndio waliwao...😂😂😂😂
Nilienda hapo wamesema kwa sasa wanauza ford tu nq sikuzpendaAgiza CMC. Acha maneno maneno...cash milion 800?
Kweli wajinga ndio waliwao...😂😂😂😂
Bro mimi sio mtu wa kujichanganya sana na watu hata nyumbani ostabey uwa watu hawanijui sanaUkifikia level ya kununua gari kama LC 300 ya kutembelea huwezi kuja kuomba msaada wa fake IDs humu ili ununue RR...
Kuna level ukifika, watu wako wa karibu, circle yako na connections zinakupa urahisi wa kupata vitu ambavyo wengi hawawezi kupata...
Namaanisha huna lc 300, achana na 200 series...
HUkifikia level ya kununua gari kama LC 300 ya kutembelea huwezi kuja kuomba msaada wa fake IDs humu ili ununue RR...
Kuna level ukifika, watu wako wa karibu, circle yako na connections zinakupa urahisi wa kupata vitu ambavyo wengi hawawezi kupata...
Namaanisha huna lc 300, achana na 200 series...
Waache wadanganyane unamkuta mtu kauza gold zake ana 600 anashangaa unamwambia tafuta gari ingine Wasizwa wao wanaamini hela ikifika kuanzia 600 inanunua gari lolote kumbe sio..Mil 800 Brand New hamiliki.
Kaka turejee kwenye mada
Kwani hii inaanzia ngapi kwa uelewa wakoMil 800 Brand New hamiliki.
Ostabey sio unaweza ukaishi popote na ukaishi vizuri tu mkuu..Bro mimi sio mtu wa kujichanganya sana na watu hata nyumbani ostabey uwa watu hawanijui sana
Wanaweza kukuagizia directly from UK or European supplier, au watumie duty free cars wapo VictoriaNilienda hapo wamesema kwa sasa wanauza ford tu nq sikuzipenda
Yeah na mil 800 ni pesa nyingi kumbe bwashee?Mil 800 hupati iyo gari.
Yes bro naona wewe umeanza kujua mimi ni mtu wa aina gani kifupi uwa sipendi shoo offOstabey sio unaweza ukaishi popote na ukaishi vizuri tu mkuu..
Walikataa kabisa wakasema niendelee kutafuta wao hawahusiki kwa sasaWanaweza kukuagizia directly from UK or European supplier, au watumie duty free cars wapo Victoria
Jikite kutafuta namna ya kumlipa boss wako lile deni la 150000 kabla hajakukata kwenye mshahara.Kaka turejee kwenye mada
MhhJikite kutafuta namna ya kumlipa boss wako lole deni la 150000 kabla hajakukata kwenye mshahara.
Hapa unaona unachangamsha genge lakini kumbuka kuna siku utakwama na utakosa msaada humu.
Nikuuzie Passo mkuu haichemshi na rangi haijarudiwa mkaguzi Mad Max..Yes bro naona wewe umeanza kujua mimi ni mtu wa aina gani kifupi uwa sipendi shoo off
Umemaanisha passport au? Maana sijui kama kuna gari inaitwa hivyo au typing errorNikuuzie Passo mkuu haichemshi na rangi haijarudiwa mkaguzi Mad Max..
China katengeneza hizo kwa bei nafuu mkuu sijajua kodi hapo itataka ngapi.Huu unyama nilikutana nao goba afu kibabu flani tu ivi ndo kinaendesha daaah. Ilibidi niingie gugo chap niangalie hii kampuni ni yawapi. Nimeipenda sana aisee
View attachment 3661373
Huko huko ulipokuwa unapeleka hio lc 300 kwenye service, kununua vipuri na hata uliponunulia lazima tu ungepata wadau ambao wangekusaidia kupata hio RR...Bro mimi sio mtu wa kujichanganya sana na watu hata nyumbani ostabey uwa watu hawanijui sana