Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Nenda Maktaba street karibu na city center wanaitwa CMC Automobiles Ltd, number yao 255 677 111 777, utapata zero KM with warranty, hao ni official distributor for Land Rover and Range Rover vehicles in TanzaniaNimezunguka showrooms nyingi hapa bongo sipati gari kama hii na hata nilizopata sio kali kama hii na sio 0 km.
Budget yangu mill 800 cash.
Nahitaji haraka maana nimeuza lc 300 na hela nimeongezea kwahiyo kwa sasa sina gari ya kutembelea mini nahitaji kwa haraka kwa mizunguko yangu ya town na trip za mbeya na mwanza , dodoma.