Benoit
JF-Expert Member
- Jun 1, 2026
- 754
- 1,696
Bilionea anajipakulia minyama😂Ndiyo nini mjomba umeamua kumuumbia Bilionea wetu?
Bilionea anajipakulia minyama😂Ndiyo nini mjomba umeamua kumuumbia Bilionea wetu?
Ni sahihi mkuu,niliwahi kuishi na wazee wangu,ndio maana nikasema hadhi ya obey sasa imeshuka sanaSasa hivi wanauza vocha hadi za mia tano mwaka 98 nilitafuta vocha ya 5000 nilikosa maduka yote wanaanzia 10,000 kwenda mbele niliona watu wana utani sana aisee..
Yule dereva aliekuzurumu 150000 ukamfungulia uzi ndio amekulipa hiyo 800m?
Hapana bro kama ningetaka used ningechukua mitambo nataka BBRAND NEW!! Kama ipo mpya niambie nije huko bongo kwa sasa nipo dubai kikqzi
Jikite kutafuta namna ya kumlipa boss wako lile deni la 150000 kabla hajakukata kwenye mshahara.
Hapa unaona unachangamsha genge lakini kumbuka kuna siku utakwama na utakosa msaada humu.
Huu unyama nilikutana nao goba afu kibabu flani tu ivi ndo kinaendesha daaah. Ilibidi niingie gugo chap niangalie hii kampuni ni yawapi. Nimeipenda sana aisee
View attachment 3661373
😁😁😁😁Yule dereva aliekuzurumu 150000 ukamfungulia uzi ndio amekulipa hiyo 800m?
Ni mlinzi?Yule dereva aliekuzurumu 150000 ukamfungulia uzi ndio amekulipa hiyo 800m?
Imetumia gia kubwa kwenye kitonga.Nimezunguka showrooms nyingi hapa bongo sipati gari kama hii na hata nilizopata sio kali kama hii na sio 0 km.
Budget yangu mill 800 cash.
Nahitaji haraka maana nimeuza lc 300 na hela nimeongezea kwahiyo kwa sasa sina gari ya kutembelea mini nahitaji kwa haraka kwa mizunguko yangu ya town na trip za mbeya na mwanza , dodoma.
Haha oya umesema? Mpaka Mods wanakujambisha sio?Jamiiforum sikuhizi tunajambishana sanaa
Huyo ni mwanaume wewe chunga malindaephen_ hello baby girl naomba tuzamie inbox
Bro mimi sio level zangu hizo za rav4 tangu nazaliwa sijawahi kuziona wala kuzigusa tafadhali sanaHamna gari humu fiber tupu Maumeme, hovyo kabisa.
Alisikika mmiliki wa rav4 masawe 1998.
Naona wenye wivu mnapambana mtoto asijae kwenye mfumoHuyo ni mwanaume wewe chunga malinda
Kwani kuna kampuni inaitwa land-rover tena?Nenda Maktaba street karibu na city center wanaitwa CMC Automobiles Ltd, number yao 255 677 111 777, utapata zero KM with warranty, hao ni official distributor for Land Rover and Range Rover vehicles in Tanzania
Sijasema ni wewe TumbiliBro mimi sio level zangu hizo za rav4 tangu nazaliwa sijawahi kuziona wala kuzigusa tafadhali sana