Habari, gari kama hii naipata wapi kwa hapa bongo au hata kuagiza 0 km

Nimezunguka showrooms nyingi hapa bongo sipati gari kama hii na hata nilizopata sio kali kama hii na sio 0 km.
Budget yangu mill 800 cash.
Nahitaji haraka maana nimeuza lc 300 na hela nimeongezea kwahiyo kwa sasa sina gari ya kutembelea mini nahitaji kwa haraka kwa mizunguko yangu ya town na trip za mbeya na mwanza , dodoma.
 
Mil 800 hupati iyo gari.
 
Acha kuzingua watu. Huko ulikoona used ungewaambia ulichoandika hapa wangekuletea mpya. Kama kweli ungekuwa ni mtu wa hio gari wala usingekuja kuuliza humu.
Haya kama wewe ni mkazi wa Dar nenda pale karibu na best bite kuna hio RR,G Wagon,GLS GLC, Bentley,etc. Showroom iko karibu na Block House.
 
Yule dereva aliekuzurumu 150000 ukamfungulia uzi ndio amekulipa hiyo 800m?
 

Attachments

  • Screenshot_20260901-190646~2.png
    71.1 KB · Views: 17
  • Screenshot_20260901-190721~2.png
    68 KB · Views: 16
Mil 800 Brand New hamiliki.
 
Best bite yenyewe hajui IPO wapi...
Jamiiforum sikuhizi tunajambishana sanaa
 
 

Attachments

  • Screenshot_20260901-190721~2.png
    68 KB · Views: 16
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…