DOKEZO Habari hii ikufikie Waziri wa Afya, ubabe wa Hospitali ya Muhimbili utaniua

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Waziri wa Afya ninaandika hili kwa uchungu mkubwa na majuto ya kujitawala, mimi ninaumwa nilikwenda hosipitali ya mkoa nikafanya X-Ray na Ct-Scan, kisha nikapewa rufaa kwenda Muhimbili.

Nimeenda Muhimbili tarehe 9/11/2023 nikiwa na CD ya Ct-Scan ili daktari aicheze kuona tatizo langu, daktari hawezi kuicheza mpaka niipeleke ICT eti waikopi waiweke kwenye mfumo wa Muhimbili!

Na ili waikopi ninatakiwa nilipe sh 86,000/=? Bila hivyo nikae na CD yangu nikafilie mbali, sina hela hiyo na pia sioni uhalali wa malipo hayo kwani hiyo CD ukiweka kwenye kompyuta inafunguka haihitaji uchawi wowote ule.

Mhe. Waziri walionipa CD hiyo ni hospitali ya Serikali na niligharamia hiyo Ct- Scan kwa ajili ya madaktari wajue tatizo langu na si kwa ajili yangu binafsi ya kutengeneza Bongo muvi, hiyo CD kwangu mimi ni nyangarakasha kwani sina utaalamu wa kuisoma na nimeingia hasara ya kufanya Ct- Scan.

Kwaheri kuonana ni majaliwa.
Kwanini mpaka leo huna bima? Wafikiri afya ni cheap? Africa afya ni cheap sababu ya siasa ila kiuhalisia sio cheap hata kidogo, kila mtu angekuwa ana weza igharamia huduma zingeimarika haswa
 
Umesoma nilichoandika? Wachana na hiyo ya NIDA, mimi nimeishi kwenye nchi zenye application ya synchronization in real life. Unakwenda kumwona Dr akishaandika vipimo na dawa taarifa zako unazikuta tayari kule unakokwenda kufanya vipimo au pharmacy yoyote mjini. Ukienda hospital nyingine, nako dr anakuomba idhini kama utakubali a-retrieve data zako kutoka hospital uliyotibiwa mwanzo. Back to the topic: Rudi usome kwa ufahamu nilichoandika ili uelewe!
Wenda kama uliquote posti yangu ki makosa, unachosisitiza ndicho nilichoandika kuwa haina haja ya Dr kutomtibu mgonjwa kisa hana hizo vikaratasi ambavyo vinaweza kunyeshewa na mvua, ni jukumu la Wizara kufanya synchronization ya hospital zake ili kama mgonjwa amepewa rufaa inabidi Dr aingii kwenye mfumo na kupata taarifa ya mgonjwa husika kutoka hospitali iliyompatia rufaa then aanzie hapo.
Wewe hukuelewa wenda sehemu niliyosema kwanini Dr asifuatilie taarifa ya mgonjwa alikotoka ...maana yangu ilikuwa afuatilie online
 
Ok nimekuelewa kamanda... Anyways, mzizi wa tatizo ni ule ule... uongozi wa nchi ni fyongo. Nchi kuwa na database ya raia wake wote ni muhimu mno mno. Ukishakuwa na database mengine yote ni rahisi kabisa ku-impliment.
 
Kwanini mpaka leo huna bima? Wafikiri afya ni cheap? Africa afya ni cheap sababu ya siasa ila kiuhalisia sio cheap hata kidogo, kila mtu angekuwa ana weza igharamia huduma zingeimarika haswa
Hiyo shs 86,000/= ni papo kwa papo haimo kwenye bima, hata hivyo sikusema sina pesa ya kulipa ila siioni sababu ya kiwango hicho. Tangu mwanzo nimesema gharama zote walizozitaka nimezilipa bila tatizo.
 
Ngoja nikusaidie kidogo si kila dr anaweza soma ct scan, so lazima iwe uploaded kwenda kwa dep ya radiology ili radilogist aisome, so hiyo bei ni kama nusu ya bei ya kipimo cha ct, kumbuka mifumo ya hosp yoyote huwe kuingiza data za nje bila kuwa na uhakika na usalama wa hicho ulichokuja nacho, sije uka hack au contaminate mifumo yao, so kukupeleka kwa watu wa ict ndio jambo sahihi wao wataona hiyo data ni threat au ni sawa kisha itamfikia radiologist, sasa jamaa angu ukija lalamika huku dah
 
tangu mohamed janabi achaguliwe kuwa mkurugenzi mambo mengi yameharibika
 
Waziri wa Afya ninaandika hili kwa uchungu mkubwa na majuto ya kujitawala, mimi ninaumwa nilikwenda hosipitali ya mkoa nikafanya X-Ray na Ct-Scan, kisha nikapewa rufaa kwenda Muhimbili.

Nimeenda Muhimbili tarehe 9/11/2023 nikiwa na CD ya Ct-Scan ili daktari aicheze kuona tatizo langu, daktari hawezi kuicheza mpaka niipeleke ICT eti waikopi waiweke kwenye mfumo wa Muhimbili!

Na ili waikopi ninatakiwa nilipe sh 86,000/=? Bila hivyo nikae na CD yangu nikafilie mbali, sina hela hiyo na pia sioni uhalali wa malipo hayo kwani hiyo CD ukiweka kwenye kompyuta inafunguka haihitaji uchawi wowote ule.

Mhe. Waziri walionipa CD hiyo ni hospitali ya Serikali na niligharamia hiyo Ct- Scan kwa ajili ya madaktari wajue tatizo langu na si kwa ajili yangu binafsi ya kutengeneza Bongo muvi, hiyo CD kwangu mimi ni nyangarakasha kwani sina utaalamu wa kuisoma na nimeingia hasara ya kufanya Ct- Scan.

Kwaheri kuonana ni majaliwa.
utazunguka mkuu mwisho wa siku muhimbili , moi, jkci hawatumii report ya mgonjwa kutoka hospital yoyote kutibu bali ni mwanzo tu wa kuanza uchunguzi wao , kiufupi utapiga CT scan upya na utalipa upya ila malipo yatapungua kwa sababu una rufaa, Mimi nimemaliza.
 
Nami naongeza hii habari nayo imfikie au wabunge wetu wamuulize waziri kwa nini ugonjwa wa vidonda vya tumbo umeongezeka je takwimu zikoje za miaka 5 hadi 10 iliyopita na serikali inachukua hatua gani kuzuia ongezeko hilo.
 
018100094042.JPG
 
Wenye mamlaka wanapita na kuziba masikio kama hayawahusu.
 
Attachments

  • 20230824_221313.jpg
    20230824_221313.jpg
    14.4 KB · Views: 2
Tatizo hospital za umma zinapewa target ya kukusanya mapato kama Halmashauri na TRA, utashangaa unapiga X-ray Hosp A ukienda Hosp B wanataka upige tena na hiyo hawaitambui na wakati umetoka Government Hosp. Ni mambo ya kijinga sn
hapo muhimbili kuna jamaa kwa kutokujua alianzia pale opd kupata huduma za kinywa na meno akapewa rufaa aende 'muhas dental clinic' kufika pale gharama zikaanza upya ilibidi apige simu atumiwe pesa.
 
Sihitaji future reference ninahitaji tiba ya sasa hivi kwanza, nimeingia gharama za vipimo vinne vikiwemo X Ray na CT Scan si kwa ajili ya hospitali iweke kumbukumbu yangu bali ni kwa ajili ya tiba ya sasa na si kwa mwaka keshokutwa.
😀 😀 😀 😀hii bhangii kavute tenaa
 
Ndiyo maana ya ndugu mteja na siyo mgonjwa mbona yapo wazi hadi kero.
 
Waziri wa Afya ninaandika hili kwa uchungu mkubwa na majuto ya kujitawala, mimi ninaumwa nilikwenda hosipitali ya mkoa nikafanya X-Ray na Ct-Scan, kisha nikapewa rufaa kwenda Muhimbili.

Nimeenda Muhimbili tarehe 9/11/2023 nikiwa na CD ya Ct-Scan ili daktari aicheze kuona tatizo langu, daktari hawezi kuicheza mpaka niipeleke ICT eti waikopi waiweke kwenye mfumo wa Muhimbili!

Na ili waikopi ninatakiwa nilipe sh 86,000/=? Bila hivyo nikae na CD yangu nikafilie mbali, sina hela hiyo na pia sioni uhalali wa malipo hayo kwani hiyo CD ukiweka kwenye kompyuta inafunguka haihitaji uchawi wowote ule.

Mhe. Waziri walionipa CD hiyo ni hospitali ya Serikali na niligharamia hiyo Ct- Scan kwa ajili ya madaktari wajue tatizo langu na si kwa ajili yangu binafsi ya kutengeneza Bongo muvi, hiyo CD kwangu mimi ni nyangarakasha kwani sina utaalamu wa kuisoma na nimeingia hasara ya kufanya Ct- Scan.

Kwaheri kuonana ni majaliwa.
Achana na kuiandika hapa. Umminhata umuandikie kwenye simu yake binafsi hakuna jibu. Hukaa kama hajaiona.
 
Tuwaache wainjoi matunda ya Uhuru walioletewa mezani na akina Nyerere ambao wamekufa masikini.
 
Kitengo cha ICT naona wana watu wendawazimu.

Kufanya Uploading ya data za kwenye CD kuziingiza kwenye mfumo ni kuijaza DATABASE bila sababu ya msingi. Kwanini Daktari asiwe na files zake yeye mwenyewe bila kuwa redirected na watu wengine? Kingine faragha ya Mgonjwa ipo wapi hapo? Maana IT anaona kila kitu.

Kwa upande wa pili, kwanini hizo Hospital za rufaa zisiwe na portal ya kutuma hizo data moja kwa moja kwa daktari wa Muhimbili? Dunia inatoka ktk physical devices hasa hzi storage devices kama vile CD.

Inatakiwa Ubunifu wa hali ya juu ktk hii ishu mifumo isomane.
Tatizo si ICT, wao wanatekeleza yaliyopitishwa na bodi ya wakurugenzi, hata tukio la Handeni madakitari wslikuwa wanatekeleza sera ya afya, haya mambo yameongelewa miaka yote na kila tukio likitokea, hadithi ni ileile.
 
Back
Top Bottom