msukuma fekero
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 2,285
- 2,969
Raid wa wasafi mwenye mdomo mchafuNani huyo hana adabu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Raid wa wasafi mwenye mdomo mchafuNani huyo hana adabu?
Hope ulitaka kusema 'rais'Raid wa wasafi mwenye mdomo mchafu
Ndiyo mkuu shukraniHope ulitaka kusema 'rais'
Basi sawa mkuu, uwe na siku njema.Ndiyo mkuu shukrani
Team mond wanatia hadi huruma mitandaoni....wanahaha kupigania kilichokufa[emoji3] [emoji3]View attachment 582242View attachment 582245
Baada ya Diamond kuubana wimbo wake wa Zilipendwa kusubiri Ally Kiba atoe kibao chake cha Seduce me ndiyo autoe wimbo wake ili kuufunika wimbo wa Kiba, Kinachoendelea sasa ni kwamba jaribio limeshindikana.
Mpaka sasa hivi wimbo wa Seduce me una viewers 4.2m na ni no 1 trending wakati Diamond na wimbo wake wa Zilipendwa una viewers 3.5m na ni no 3 trending.
kinachoendelea kimewafanya mpaka team Mondi kutengeneza wimbo wa Seduce me ulioimbwa kiratino ili ionekane kama Kiba ame copy na kuusambaza mitandaoni.
Nalo pia halijasimamisha kasi ya Seduce me. Kila kona wimbo wa Seduce me unapigwa na kuimbwa . Poleni sana team Mondi
Aje na salome ipi iliyotangulia....ila sishangai maana kipofu kaona mwezi basi shida tupu mtaani.ENEKA na FIRE Zina views ngapi sasa hivi? HAHAHA
Baada ya week utanipa mrejesho...promo kubwa mwishowe liqimbo lishaanza kujifia na kupotea....zilipendwa inazid kukimbiz bila promo ya mwenyekiti wa kitongoj wala katibu kata.Team mond wanatia hadi huruma mitandaoni....wanahaha kupigania kilichokufa[emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaha! Tatizo munapost machapisho nusu nusu mukiongozwa na boss wenu,hamumalizi kuyapost yote kama yalivyo.![]()
![]()
Acha media ziongee.