Habari mbaya kwa team Mondi

Habari mbaya kwa team Mondi

46846a46c21b6aa12a3c4ef001686567.jpg

c67ec3d6bc45bad7c2396eb1dd12afa7.jpg


Acha media ziongee.
 
View attachment 582242View attachment 582245
Baada ya Diamond kuubana wimbo wake wa Zilipendwa kusubiri Ally Kiba atoe kibao chake cha Seduce me ndiyo autoe wimbo wake ili kuufunika wimbo wa Kiba, Kinachoendelea sasa ni kwamba jaribio limeshindikana.
Mpaka sasa hivi wimbo wa Seduce me una viewers 4.2m na ni no 1 trending wakati Diamond na wimbo wake wa Zilipendwa una viewers 3.5m na ni no 3 trending.
kinachoendelea kimewafanya mpaka team Mondi kutengeneza wimbo wa Seduce me ulioimbwa kiratino ili ionekane kama Kiba ame copy na kuusambaza mitandaoni.
Nalo pia halijasimamisha kasi ya Seduce me. Kila kona wimbo wa Seduce me unapigwa na kuimbwa . Poleni sana team Mondi
Team mond wanatia hadi huruma mitandaoni....wanahaha kupigania kilichokufa[emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiba ampe pole kaka yake aliyemsifu ambaye katajwa kwenye ripoti ya Makinikia ya Almasi.
 
Back
Top Bottom