Habari mbaya: Uwanja wa Uhuru Dar, Watu 45 wapoteza maisha kutoka na msongamano

Kwaio death certificate inatoka hapo hapo ukishafariki ?
Kama haijatoka hapo huna authority ya kutamka mtu kafa kwa ajili ya nini wewe sema tu kafa full stop .Wakikuuliza kafia nini sema death certificate bado haijatoka usijitie kujua ohhh kafa kwa sababu hii wakati hujapata death certificate!!!
 
Alienda kushuhudia maiti ili akapige umbea kitaa

Watz wanapenda stori za umbea[emoji1]
Mm nawaambia siyo umat ule ulimpenda jiwe wengne n umbea tu na kukosa kazi ambazo mwendazake alizibana Mungu hana utani kuonesha mwamba alikuwa mafia kaamua kuwachukua na wanafiki wanaompamba wakat ukienda kwao maisha yamewapiga Sasa wakaendelee kumsifia huko mbinguni mwenzao alisema ataongoza malaika wao wataongoza nn

#KAMA HUNA KAZI YAKUFANYA KAA NYUMBANI
 
Kweli hao ni physical deaths,bado walioambukizana gonjwa hili la hatari covid 19.kulikuwa hakuna haja ya kuupeleka mwili wa hayati magufuli tena uwanjani.kutoa salaam barabarani kungetosha.mambo mengine tunajitakia wenyewe.ujue hapa si bure pana ulaji.anyhow poleni wafiwa wote.
 
Mleta mada tuwekee vyeti vyao vya vifo tuamini taarifa zako kama vinasomeka wamekufa kwa msongamano.

Si vizuri kutangaza kifo cha mtu bila kuambatanisha death certificate
Mitano tena , Mia tena over forty dead body found ndugu usishindane na teknologia ?
 
Reactions: BAK
Wajitahidi kuwa waangalifu,,shime tujitokeze kwa wingi zaidi kuaga kesho
 
Imefikia stage hiyo, kwanini hiyo shughuli ya kumuaga Magufuli isingepelekwa uwanja wa Mkapa? au hapakuwa na polisi wa kutosha kusimamia hilo zoezi? anyway now it's too late.

Wapumzike kwa amani wote waliofariki.
Mimi nadhani wangeruhusu video ya mwili wa marehemu ionekane ingepunguza shauku ya watu kutaka lazima wakashuhudie physically.
 
OMG!!
 
Sasa subiri kesho uone... Laana Nuksi Ujinga Umasikini Utaahira Utapia mlo Ushirikina ndo vinaiangamiza nchi..watoto wamepotea wengi sana.Unaenda kuaga nini... !!!?
Nyambafff
 
msimsingizie maerehemu.Muacheni marehemu apumzike kwa amani.
Sina na wala sikuwa na undugu nae!
Simfahamu, hakuwahi kunifahamu japo alishea kabila na mimi.

Imeisha hiyo, maisha yanasonga mbele vifo vipo kila siku
 
Bado awataki kuchukuwa hatua za taadhali ya Covid-19, hakuna haja ya kuhamasisha misongamano, hata kama tunapenda, mabadiliko ni ngumu hadi Rais hatakapovunja serikali!
 
Hivi unendaje kuaga SHETANI! Shetani huwa hafi pekeyake. Wamejitakia kufa haoooo.
 
Hao unaowaona wamejazana hapo ndio wale unaowaona wamejazana kwenye daladala,pantoni,sokoni na hawafi mnakufa nyinyi matajiri mnaoshinda kwenye ac huku mmevaa barakoa
Usijidanganye kijana, wanakufa sana ila ndiyo hivyo hawana status ya kutangazwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…