Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 19,976 Reaction score 32,195 Feb 1, 2025 #181 Wagumu Tunadumu said: Jamaa alikuwa na mipango mizuri Ila ujinga wake wa kujifanya anajua kila kitu hapo ndo alipobugi Click to expand... Jamaa abalikiwe sana alikuwa shujaa haswaa na alipenda kusaidia watu masikin hasa sisi ambao hatuna chochote Abalikiwe sana Ila tu alinikera sana alipoanza kunyamazisha wapinzan ambao hao wapinzan wao ndo walimfanya akae ikulu Mbaya zaid kitendo cha kuua wapinzan wake ndo kiliniudh zaid
Wagumu Tunadumu said: Jamaa alikuwa na mipango mizuri Ila ujinga wake wa kujifanya anajua kila kitu hapo ndo alipobugi Click to expand... Jamaa abalikiwe sana alikuwa shujaa haswaa na alipenda kusaidia watu masikin hasa sisi ambao hatuna chochote Abalikiwe sana Ila tu alinikera sana alipoanza kunyamazisha wapinzan ambao hao wapinzan wao ndo walimfanya akae ikulu Mbaya zaid kitendo cha kuua wapinzan wake ndo kiliniudh zaid
FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 38,920 Reaction score 44,970 Feb 1, 2025 Thread starter #182 JPM alikuwa na mpango mzuri wa kushusha bei ya umeme kupitia bwawa ili kuiuza viwanda na uzalishaji na hatimae kuongeza ajira. Hawa wa sasa wanajikita kuuza nje ili pesa watie mfukoni, inauma sana..
JPM alikuwa na mpango mzuri wa kushusha bei ya umeme kupitia bwawa ili kuiuza viwanda na uzalishaji na hatimae kuongeza ajira. Hawa wa sasa wanajikita kuuza nje ili pesa watie mfukoni, inauma sana..
Chambusiso JF-Expert Member Joined Jul 11, 2007 Posts 2,592 Reaction score 4,640 Feb 1, 2025 #183 Hivi bei ilishashuka?
M mbegunjema JF-Expert Member Joined Sep 10, 2024 Posts 221 Reaction score 246 Feb 1, 2025 #184 Ingeweza kufika hapo, lakini kuna kakikundi kanaitwa sijui "EWURA".
FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 38,920 Reaction score 44,970 Feb 1, 2025 Thread starter #185 Chambusiso said: Hivi bei ilishashuka? Click to expand... Zanzibar, ndio , ilishuka
K KUTATABHETAKULE JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 5,159 Reaction score 5,070 Feb 1, 2025 #186 mbegunjema said: Ingeweza kufika hapo, lakini kuna kakikundi kanaitwa sijui "EWURA". Click to expand... Wanaokula wasichopanda na kuvuna wasicholima.
mbegunjema said: Ingeweza kufika hapo, lakini kuna kakikundi kanaitwa sijui "EWURA". Click to expand... Wanaokula wasichopanda na kuvuna wasicholima.